Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

Sasa mleta uzi hili la kuvamia clauds nalo limekaaje tuelezee ukihusisha na vita ya madawa ya kulevya
 
Mwandishi wewe ni Mpumbavu So wauza unga ndio wamemtuma RC WA DAR atengemeze dvd feki inayomhusu Gwajima?

Wanaohusishwa na tuhuma za Madawabya kulevya ndio wamemhamasisha PAUL BASHITE kuvamia CLOUDS MEDIA?

Acheni boyoyo RC WA DAR ni mpuuzi anafanya kazi kwa misifa na mihemko.

AMELIKOROGA MWENYEWE MWACHENI ALINYWE MWENYEWEEEE!!!
 
Kwa hiyo na mkuu wa mkoa alihusika kwenye huo umafia kwa kuwavamia clouds radio.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul ******* zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na ******* pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa ******* Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa ******* ambao walikuwa wakimsaidia ******* katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka ******* na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa ******* akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA *******(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa ******* Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga ******* hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya ******* apate aibu mjini, kisha wamtake ******* aaibike, wakishapanga mtego mmoja ******* akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la ******* kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama ******* hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza ******* aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.

Cha msingi huyu ndugu yetu atuoneshe vyeti hilo la kuvamia clouds anaweza kuomba au asiombe radhi. Kwani vyeti walimnyang'anya hao jamaa mkuu?
 
Labda ungeuliza pia tangy lini zitto akamsindiza lissu mahakamani,jibu rahisi tu kwa mwenye akili kubwa,unapowadharau na kuwakandamiza watu waliokuzunguka ndio unawasaidia kujenga umoja wao dhidi yako,hizo nyingine ni porojo
 
Duuuuh kabisa wazazi wako wanasema wana mtoto kama ww, msiba huuuh
 
Na vyeti
Mwandishi wewe ni Mpumbavu So wauza unga ndio wamemtuma RC WA DAR atengemeze dvd feki inayomhusu Gwajima?

Wanaohusishwa na tuhuma za Madawabya kulevya ndio wamemhamasisha PAUL ******* kuvamia CLOUDS MEDIA?

Acheni boyoyo RC WA DAR ni mpuuzi anafanya kazi kwa misifa na mihemko.

AMELIKOROGA MWENYEWE MWACHENI ALINYWE MWENYEWEEEE!!!
Na vyeti walimnyang'anya?
 
Na vyeti walimnyang'anya? Hii mbinu ya kuwadhaa watanzania
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul ******* zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na ******* pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa ******* Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa ******* ambao walikuwa wakimsaidia ******* katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka ******* na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa ******* akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA *******(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa ******* Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga ******* hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya ******* apate aibu mjini, kisha wamtake ******* aaibike, wakishapanga mtego mmoja ******* akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la ******* kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama ******* hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza ******* aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
hahaaa poor u.kwa nini anganganie magari yao? kwa nini alijipeleka clouds usiku? kwa nini alienda lia kanisani?kwa nini hatoi vet kama sonko awaumbue?kwa nini awataje huku uchunguz bado ndo kwanza tuhuma? kwa nini kamishna ambae ni kazi yake yeye hataji watuhumiwa kama alikua anapambana sawa au ni kiki? kwa nin hajibu tuhuma? mbona nyingine hujibiwa na wahusika ata kama ni za kishilawadu?
?
 
Back
Top Bottom