Recent content by CaptainKing

  1. C

    Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Ni mtazamo wangu mkuu, kulingana na nilipoanza kuuelewa mzika mpaka leo. Kama kigezo cha fast growing kwako ni Majukwaaa makubwa na Awards from there you are right , Naomba kufahamu kuhusu ushawishi kwa label yake umepoteaje mkuu.
  2. C

    Unamshauri nini Harmonize baada ya kuyumba kidogo kwenye muziki?

    Hapa nachokiona Harmonize na Diamond ni wakubwa. Mmoja Legend mwneye fans base kubwa aliyoitengeneza kwa Miaka 10+ halafu mwingine ni fast growing ambae kwa Miaka 5+ ametengenezwa, na kukulia ndani ya fans base ya mtu na baadae kwenda kutengeneza fans base yake ambayo ni "we win together we...
  3. C

    Ubora kati ya HP Elite Book 840 G3 NA HP Pprobook 420 G4

    Wakuu habarini za sahizi? Naomba kwa anaefahamu anielekeze juu ya ubora wa HP ELITEBOOK 840 G3 na HP PROBOOK 450 G4 Ni kwa ajili ya Mwanafunzi wa ICT Msaada tafadhali.
  4. C

    SoC03 Kukuza Uwajibikaji na Utawala Bora nchini Tanzania: Wito wa Marekebisho ya Kisheria

    Mkuu,ulipania show na umeitendea haki.Hongera sana Lakini pia matumizi ya teknolojia katika ukusanyaji, udhibiti na usimamizi wa Mapato
  5. C

    Hard disk ya laptop naitumia tangu 2018, Je niendelee kuitumia au niibadili ?

    Wakuuu kwanza habari. Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya masuala ya computer,anishauri laptop nzuri ya kutumia kwa budget ya 350k-450k ambayo naweza kuitumia kama Mwanafunzi wa ICT Bachelor,na specifications zake. Mchango wako ni muhimu.Asante san
Back
Top Bottom