Recent content by captai

  1. captai

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mapambano kati ya Polisi na wananchi Tunduru

    Marehemu hasemwi ila kwa hapa magufuli alifeli sana sijui aliwaza nn
  2. captai

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Salim Kikeke amedharauliwa na kupuuzwa na wananchi, Tofauti na alivyokuwa BBC?

    Kikeke anachekesha kama sio mjombaako🤣🤣🤣
  3. captai

    JamiiForums Tanzania Waraka wa mwisho kwa Binti kiziwi

    Naona umeamua kwenda msikitini na bibilia
  4. captai

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Jamaa anachekesha kama sio mjomba wako
  5. captai

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

    Hatimaye tanzania inaongozwa na mjane
  6. captai

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Ndio maana hii post inanuka
  7. captai

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Dah hiyo ni off target bila shaka hilo shuti kapiga doumbia,angepiga okello mpira ungelenga goli
  8. captai

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari Godfrey Mahundi afariki dunia

    On target zinaenda vizuri sana
  9. captai

    JamiiForums Tanzania Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

    Nenda kwa anko T pale sinza kama unataka muhudumu mwanamke sawa ila kama unataka muhudumu mwanaume mchanganyiko anakuja anko T mwenyewe
  10. captai

    JamiiForums Tanzania Kuna Vitu vinatisha wakuu.....

    Noma sana
  11. captai

    JamiiForums Tanzania Kero katika Misa Katoliki (kwa wakatoliki tu)

    Mimi siku nikiamkia sabato sawa siku msikitini sawa siku roman sawa siku anglikan sawa siku rutheran sawa..mungu ni mmoja nasali kokote ninakojiskia..kuna msikiti walinifukuza eti kisa nauza kitimito nikasema sawa hakuna shida jumamosi nikazama sabato
  12. captai

    JamiiForums Tanzania Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Maelezo marefu kwenye hamna muhammad kaingia mitini
  13. captai

    JamiiForums Tanzania Al Badir ni utapeli. Kwanini msimsomee Netanyahu

    Muhammad huko aliko anaangalia tu watuwake wanateketea ina maana mashehe wanashindwa kuungana kuisomea albadir israel....
Back
Top Bottom