Recent content by CaprePoint

  1. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Makundi ya vijana wa Kitanzania ambao hujihisi wameyapatia maisha

    Hapo kwa wanasheria.. you nailed it 😄😄
  2. CaprePoint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hupendi kufanyiwa nini na mpenzi wako muwapo faragha?

    😄😄😄😄 kina fally Ipupa wanahusika kumbe
  3. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Picha: Jux akwaa Scandal ya Ushoga

    Mpo wangapi...
  4. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Huyu ni Bilionea asiye na Haja ya wewe Mlalahoi kumtambua. Makaburu Wanamweshimu Ile Mbaya

    Unadhani alitoa 5kg bila kupata return yoyote... do your math vizuri, hamna free breakfast asee!!!
  5. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Ni sheria gani ya shule ulikua huipendi wakati unasoma?

    Kusoma prep... ile mida ya night, yani nilikua naenda kusikiliza redio tu 😬😬
  6. CaprePoint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Natamani kweli ila sina hela ya lodge baby" Hili jibu K sana yaani konki

    Hapo hataki kupiga mechi... mwanaume anayekupenda na mwenye hamu na wewe hawezi kukupa jibu la namna hiyo
  7. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Penzi la Irene Uwoya na Kayumba hata halipendezi

    Kwani kuna mtu hajui... kabla hata ya birthday ya kayumba watu walikua washajua
  8. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Penzi la Irene Uwoya na Kayumba hata halipendezi

    Yani kayumba ndo awe anamuweka uwoya mjini!? Haiwezekan... huyo demu huwa anatafuta watu wa kufichia mahusiano yake, itakua anatoka na mtu respected ambaye hataki media zimjue
  9. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Last minute lounge ya Irene Uwoya, Sinza Mori

    😂😂😂😂😂 part two..
  10. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Kwanini kesi ya utakatishaji fedha haina dhamana? Utakatishaji unaanzia wapi?

    Navyojua sio kwamba hazina dhamana.. issue ni kuwa mahakama za chini (hakimu mkazi na zingine) hazina uwezo wa kutoa dhamana kama kesi inahusisha zaidi ya tsh bilion 1. Ila kesi hiyo ikifika mahakama kuu mtuhumiwa anaweza pewa dhamana kama atakidhi vigezo. Tatizo ni hadi ifike mahakama...
  11. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania Vitu Vinne ukivianza Kuviacha NGUMU

    Speaking from experience 🤔🤔
  12. CaprePoint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajidanganya uko pekeako kumbe mpo wengi

    Penina nnae mjua mimi!!?
  13. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Poa poa mkuu... ndo maeneo yangu hayo
  14. CaprePoint

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Basi sawaa.... 🥂
Back
Top Bottom