Last minute lounge ya Irene Uwoya, Sinza Mori

Last minute lounge ya Irene Uwoya, Sinza Mori

Wabongo bhana, kwahiyo miswali yote hiyo ni kwamba hujaelewa au ndo unaleta wingi wa mambo
Ndio maanake. Hata kama 'the last minute' maana yake ni opportunity, sasa opportunity gani inapatikana hapo?
 
Wana JF Umofia kwenu usiku wangu wa kuamkia tarehe hii 22/02/2019, Nimeutumia hapa Last Minute Lounge iliyopo sinza mori mbele ya La Chaaz njia ya kuelekea Wanyama Hotel.

Hakika ni usiku mzuri na wakupendeza kwenye hii siku maalumu ya ufunguzi wa pub ya dada yeru Irene Uwoya;
  • Full of enjoyment
  • music mzuri chini ya djommycrazy
  • watu wastaarabu sio wahuni.
And alot of enjoyments, kama upo au ulikuwepo mahali hapa share feelings zako.

Mia
Uchumi wa kati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom