Recent content by Cape city

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

    Hahahahahaaaa
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa, mwezi mmoja baadae anaenda masomoni UK

    Amuache na mimba, amtembelee ikiwezekana hata mara 1 kwa mwaka
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Nimeanza kuisoma hii hadithi leo asbh nimejikuta nashindwa kustop mpaka nimefikia hapa! Wee mkali bhana...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jini wa daraja la Salendar

    Nkhosi Kakulu
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbele na nyuma wapi tamu?

    Childish again...dah
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Hivi wale MBUZI WA HALAL-BADRI kule Tanga bado wapo hadi leo. Kama unakumbuka mkuu Ally Kombo wale mbuzi walikuwa wanazurura mji mzima na hawaguswi na mtu. Watu walikuwa wanawaogopa kama ukoma! Bado wapo wale?
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    wewe mjanja sana, unanisoma kiaina
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    samahani, sikujua kama wewe KIGAGULA ila usipotoshe watu hapa
  9. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    si kumkumba tu, namfaham! Suala la kuijua Tanga si kwamba naijua tu nimezaliwa Bombo hospital na nimekulia usagara na sahare na kusoma kule up to O-level. Sikatai uchawi upo na c Tanga tu, hata hapo ulipo upo. Ninao mpaka rafiki zangu ambao walishaathirika na halal-badri, ipo ipo sikatai...but...
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Juma Mgunda alikuwa anachezea Coastal Union BosS
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    nyingi ni simulizi tu ambazo hazina uthibitisho. Tanga ni moja ya mikoa mbayo mungu ameibariki vitu vingi vzr... Panafaa kuishi kwani maisha ni rahisi, plan nzuri ya mji nk
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    Hili tukio la mpira kupasuka ni true story na nilikuwepo pale mkwakwani siku ile japo nilikuwa bwana mdogo sana. Goalkeeper wa African sports alikuwa SALIM WAZIRI na inasemekana kwamba angeudaka ule mpira ndio ungekuwa mwisho wa maisha yake! Nadhani lilikuwa tukio la kawaida mpira kupasuka...
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kuushuhudia!

    uko sahihi mkuu...jamaa alikuwa anaongeza chumvi kwenye maelezo yake! Niwasahihishe tu kidogo Pama hakuwa mwembamba, alikuwa ana mwili mkubwa wa mazoezi ila alikuwa na mdogo wake anaitwa MKUSA ndio alikuwa mwembamba! Jamaa walikuwa wababe sana enzi hizo...nyumba yao ya familia ilikuwa pale...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

    Kalagabaho...church bussines hizo mkuu
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake msiende kwa Karumanzila, ukweli ni huu hapa…!

    Waendelee tu kutembea nusu uchi mitaani na kushinda night club...wataishia kuwa vipozeo tu...wale wenye heshima zao wanawekwa ndani hata kama wana sura mbaya
Back
Top Bottom