Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,103
- 2,618
Mkuu MziziMkavu thanks kwa kunikumbusha hadithi tamu za kwetu Giningi.
Last edited by a moderator:
Hadithi tamu hii! Hivi huyu jini hawezi kutufuata tulio mbali na sie baada ya kuijua siri yake? Maana naogopa kweli mwenzio humu chumbani, huwa nazima taa wakati wa kulala lakini leo inaweza kulala on!
Daraja la Salenda bridge!
Mkuu.@muuza ubuyu Yule Mgonjwako wako wa Maradhi ya kwikwi alipona? ulimpa ile Dawa yangu niliyokufundisha?