Mbele na nyuma wapi tamu?

Mbele na nyuma wapi tamu?

Mwl unaonekana wewe ni mtaalam wa hivi vitu, mi huwa nakula sijui kuchagua wapi ni tamu, hivi kuna mbuzi ako na Sirloin steak kama ng'ombe? mi napenda hapo na pale kwenye T-born steak

mguu wa nyuma wa mbuzi ni mifupi lkn ndo tamu kwani ndio iko kwenye eneo la jembe na kiuno na katika nyama tamu kuliko zote ni kiuno ikifuatiwa na salala ila nyama nyingi ni jembe. miguu ya mbele ni mirefu ila haina nyama tamu manake imekaa na misuli isiyokua na mafuta kama ya nyuma. na hata location yake ni mbaya yaani karibu na shingo na mbavu.
 
Nyuma tamu sana pia nyama nyingi na lainiiiii, mbele kugumu

:confused2::confused2::confused2:???????????????? una:confused2:maaanisha Nyama au kitu kingine?
 
Umesoma wapi? huu uchafu peleka Facebook hatuhitaji humu., :thumbdown::thumbdown::thumbdown::thumbdown:
 
wewe nyuma kutamu kunavuta kule wewe vipi,,njo muembe kisonge tukuoneshe watu wanavokula PAJA KWA NYUMA.
 
Acheni kuleta mada za kitoto hapa ndani. Mnatupotezea muda. Kama huna cha kuandika, tulia, nyamaza kimya kabisa. Soma michango ya wenzako iliyoenda shule. Nasema hii tabia ikome mara moja. Toeni mada zenye tija na kuelemisha taifa letu. Ni hayo tu.

hapa nakuunga mkono Mwanamalundi kuna watu kwa kweli wanakela sasa hiki nini kapost tena jf doctors anauliza ukubwa wa maumbile na viungo vya uzazi yani post zake anatoa kijiweni anakuja kuharibu hadhi ya jukwaa
 
Tupo pamoja mkuu. Tatizo siku hizi hadi siye watoto wa uswazi tunaAccess ya internet ndo maana yanatokea yote haya. Kuna siku mtu atataka kuingia msalani halafu aanzishe mada yenye heading "NIKITAKA KUINGIA MSALANI NITANGULIZE MGUU WA KUUME AU WA KUSHOTO?".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kwani sie watoto wa uswazi kuwa na access na internet ni tatizo?,na ndio kunakopelekea yote haya?siku nyingine usikurupuke!yatosha kusema nimekwazika
 
Acheni kuleta mada za kitoto hapa ndani. Mnatupotezea muda. Kama huna cha kuandika, tulia, nyamaza kimya kabisa. Soma michango ya wenzako iliyoenda shule. Nasema hii tabia ikome mara moja. Toeni mada zenye tija na kuelemisha taifa letu. Ni hayo tu.

JF ni mtandao wa kijamii, ukielewa maana ya jamii hutapata shida na post za wengine, lakini pia tujifunze kuona na kusikia hata yale tusiyopenda, kwa kufanya hivyo tutapanua ufahamu wetu na hekima zetu
kinyume chake ni kuwa na 'shallow mind' kwa kulimit fahamu zetu kwakupokea tu yale tuyapendayo
 
Kwanini usionje kote uone wapi patamu? Je wewe ungependa uanze kuoja mbele au nyuma? Je swali lako linatusaidia nini sisi ambao hatukuwa kwenye ubishi wenu? Je ni wapi kuku ni mtamu zaidi? Je kuku na bata yupi mtamu zaidi? Je wajinga wamepigwa mihuri? Je ujinga wa mtu unaweza kuujuaje? Je ni kosa kujibu maswali ya kijinga kijinga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom