Baada ya kufunga ndoa, mwezi mmoja baadae anaenda masomoni UK

Baada ya kufunga ndoa, mwezi mmoja baadae anaenda masomoni UK

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Kuna rafiki yangu kapata scholarship kwenda kufanya PhD kwa miaka minne, London School of Economics. Kwa sasa ana mchumba na wanategemea kufunga ndoa mwakani, lakini baada ya mwezi mmoja jamaa ndio atakuwa anaeleleke masomoni. Mke wake anafanya kazi, lakini wamekubaliana aache kazi temporarily (sijui mnaita kufreeze ajira) na kumfuata jamaa Ulaya, maana jamani kama mnavyojua tena ndoa ndio itakuwa bado changa. Scholarship yake haigharamikii mahitaji ya mke.

Sasa anauliza, atakapoenda ubalozi wa UK kutafuta visa ya mke wake, atatakiwa afanyeje ili mke apewe visa ya kuishi naye huko?

Kwa sababu yeye ndiye atakayegharimia mahitaji ya mke, je atatakiwa apeleke bank statement kuonyesha ana hela za kutosha kumgharimikia mkewe kwa maisha UK? Ni kiasi gani cha fedha Tshs/USD chaweza kuchukuliwa kama kinatosha?

Je akisema atatumia mshahara kwa ajili ya mkewe itatosha? Mshahara wake take home ni kama USD 1200 kwa mwezi.

Au kuna njia nyingine wakuu ninayoweza kumshauri ili kurahisisha hili jambo?
Nyani Ngabu MziziMkavu mimi49, watu8 Mrembo by Nature, Invisible na wengineo.

NB: Sijaweza kumshauri mpaka sasa hivi ingawa alitegemea ushauri wangu maana sijawahi kuishi UK wala Ulaya na sielewi watu huwa wanafanyaje ili wakubaliwe kuishi huko, hasa kama hawaendi kimasomo au kikazi.
 
Last edited by a moderator:
Hizi mada bana sometimes inakuwa sio. Ooh mara rafiki yangu anauliza. Mara nimeulizwa. Ooh nimeikuta kazini hii mada. Mara nimekuta watu wanaongea hivi. Mara amesema nimuulizie jf. Si mseme kama ninyi ni wahusika jaman. Anyway ni vizuri akaenda na mke wake. Akimwacha.bongo atakuwa hajamtendea haki yake. Yeye ni binadamu anaweza akajaribiwa
 
@NIFEDIPENE mie sio mhusika mkuu, nadhani nimeeleza na nimeeleweka.
 
Hizi mada bana sometimes inakuwa sio. Ooh mara rafiki yangu anauliza. Mara nimeulizwa. Ooh nimeikuta kazini hii mada. Mara nimekuta watu wanaongea hivi. Mara amesema nimuulizie jf. Si mseme kama ninyi ni wahusika jaman. Anyway ni vizuri akaenda na mke wake. Akimwacha.bongo atakuwa hajamtendea haki yake. Yeye ni binadamu anaweza akajaribiwa

umemchana live mkuu
 
Ahakikishe anampiga mimba ndo aondoke
 
kwa elimu aliyonayo na anayokwenda kuongeza huko majuu, sidhani kama atategemea ushauri wa JF bila kufanya utafiti hasa kwa yule aliyempatia hiyo scholarship.

Lakini yote kwa yote naamini anatakiwa kwenda huko kwanza akayasome mazingira (amount ya scholarship yake v/s ghalama za maisha), urahisi/ugumu wa yeye na/au mke wake mtarajiwa kupata temporary employement, n.k. Kisha ya hapo nadhani sasa ni rahisi kwake akiwa tayari yuko kule kutafuta makaratasi yanayoweza kuwa ni mwaliko rasmi kwa mkewe. Kinyume cha hapo labda inaweza kuwa ngumu kwa mkewe kupata visa kama makaratasi (documents) za mume hazioneshi kumwalika mke.
 
Mwambie mr husband asipeleke muke yake huko ukerewe. Mr David Beckham yupo kule anapenda sana mwanamuke, afu kwanini asimuache bongo yeye asepe sake uk? Kule kuna tumusichana tuzuri twingi sio kama kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwa mutogole ,atakosa uhondo
 
Uwezekano wa kuruhusiwa kwenda na mke wake upo,ili mradi account ishawishi.Aisee ni vizuri akaenda na mke wake.
 
Iv aliewaambia mimba ndo suluhsho nan?mtu akiwa na mimba hawez kujigi jig na mtu nan?ivo hyo si soln

Aaaaah! tena huwa wana jig jigi vzuri, yani katika hali ambayo siwezi kumuacha mpenzi wangu ni hiyo manaake mwanamke akiwa mjamzito wanakuwa wanahamu sana
 
Ahakikishe anampiga mimba ndo aondoke

watu wengine banaa
unaacha kujibu swali uliloulizwa. Unaleta politics
By the way wajawazito wana flavour zao aisee.. hujawahi ona watu wana wafukuzia eee!
 
Back
Top Bottom