Pamoja na kua na maslahi binafsi kwa hayo mnayoyaandika au kuyafanya lakini ifike hatua msiwe mnanafakari madhara yake. Pesa na madaraka havina thamani ikiwa vinapatikana kwa kumuumiza binadam mwenzio. Stop that sh*t men
Sure mkuu ni vile wanafanya vitu lakini hawajui logic yake. Mfano mtu anaposali ile rozari hajui state ya mind inakuwaje. Anapokua anazitamka zile sala (mantras) kwa kuzirudiarudia hawajui impact yake ni Nini ktk mind. Mfano mwingine ni zile poses+sala za Islam lengo ni kuichanel mind ktk kitu...
Meditation ukiwa committed nayo itakufanya uweze kuijua kweli, ujijue wewe halisi (soul). It's a spiritual journey na sio religious journey, hata hicho unachokiita ushetani u takuja kugundua ni stori tu ambazo umesimuliwa/umefundishwa. The kingdom of God is within you, zama ndani yako utajijua...
You can't stop thinking instead observe/witness them without any judgement, they will stop themselves. Kikubwa uwe ktk comfortable pose na mazingira ambayo Ni tulivu. Wengine wanatumia mbinu ya kufocus kwenye kitu kimoja mfano breathing, mwanga wa mshumaa au repeated words (mantra) n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.