min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,263
- 177,481
Hakuna mnyama tuna mtawala bwashee, sisi wenyewe ni wanyama tuNini maana ya kutawala ?
Hakuna mnyama tuna mtawala bwashee, sisi wenyewe ni wanyama tuNini maana ya kutawala ?
Sawa lakini nipe maana ya neno KUTAWALAHakuna mnyama tuna mtawala bwashee, sisi wenyewe ni wanyama tu
Kushika mamlaka ya juu ya kuongozaSawa lakini nipe maana ya neno KUTAWALA
KUONGOZA NINI?Kushika mamlaka ya juu ya kuongoza
Nisamehe nimetoka nje ya mada bro... kama unaweza nijuza (tujuza)....nilisikia mahali na nikasoma mahali kuhusu NYOKA (mr wise), ya kuwa maeneo wanapokuwepo nyoka, ni eneo salama kwa majanga yoyote ya kidunia,,, yaani nie eneo ambalo, tetemeko, majanga ya moto.....yaani ni eneo salama....bado nahitaji kujua zaidi.Chakula ni ibada yenye baraka na laana pia kutegemea unakichukuliaje na unakitumiaje
Kuna watu mna madini ad raha Yan,Hiyo ni law of nature kuwa unapowasaidia viumbe chakula inaweza kuwa miti , wadudu ,binadamu unakuwa umeendeleza uumbaji hivyo kuna positive energy itakurudia .
Kinachomata ni intention nia mfano wewe Ndege john unaweza ukapata positive energy kubwa utavyomfuga paka kuliko mbuzi kwakuwa paka unamfuga with zero interest Ila mbuzi unamfuga kwa kitoweo .
So Kama hao Kuku unawafuga ili wakue upate kitoweo hakuna energy utapata
Kweli CCm ina mafisi wengi kila sehemu ndio maana inafanikiwa kwa ujambazi wa wanyama wao fisi na chawaMtu mzuri anafuga kuku,mbwa na paka na daima akiangalia kikosi cha mifugo yake anaionea huruma anaipa chakula.
Mtu mbaya utamjuaje? anakula samaki ila ana uchu hatari yaani hata nyau apite pembeni hampi hata mfupa.Na hata kama akifuga hawezi kuwahudimia mifugo hawezi KUWAPA chakula asubuhi..
Mtu mwema utamjua tu namna ana vyodeal na mifugo ya home.Na Tena ukifuga AUTOMATICALLY njaa inakukimbia
Unajua hapo ulipo na utawala wako upo kwenye menu list ya simba?