Maua yanayotabasamu juu ya mzizi unaokufa

Kiti cha mkongwe kimeanza kunyauka chini kwa chini, japo maua bado yanatabasamu mbele ya hadhira.
It/He/She looks healthy and peaceful on the outside but “whatever” they hit It/Him/Her with has catch the target spot on.

Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki,
1300pm
Saturday

upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi
Not It/Him/Her direct but the branches?!

ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."

From the clove coast to the NyikaLand of Cotton & Gems!

Ni tabia mbaya kuumiza vichwa vya watu alfajiri yote hii!
 
Wapuuzi mmekuwa wengi mno, ila yote mnayoyatapika hapa hakuna hata moja lililotokea wengine wanakimbia uzi zao 😂
 
Kiti cha mkongwe kimeanza kunyauka chini kwa chini, japo maua bado yanatabasamu mbele ya hadhira.

Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki, upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."
Katika saa ya saba ya siku ya saba wa wiki, upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."
 
It/He/She looks healthy and peaceful on the outside but “whatever” they hit It/Him/Her with has catch the target spot on.

1300pm
Saturday

upepo wa mashariki utapiga bila huruma, ukitikisa matawi
Not It/Him/Her direct but the branches?!

ya mti wa bluu uliochomekwa kwenye ardhi ya dhahabu."

From the clove coast to the NyikaLand of Cotton & Gems!

Ni tabia mbaya kuumiza vichwa vya watu alfajiri yote hii!
Duh umenichekesha 🙌😂😂
 
Pole kwenye hili nakupa pole
Yajayo yanavyofurahisha mnooo😅
Kwan zimeandikwa Mada ngapi humu na hakuna kilichotokea?
Kuna mpuuzi mwngn aliandika kuwa kwenye mkutano wa dira Samia angeachia madaraka, haya limetokea hilo?
 
Back
Top Bottom