Kaka hapa MMU pazuri sana... Nilikuwa napachukulia poa ila baada ya kupata testimony za jamaa zangu nimepakubali... Sina shaka nitapata rafiki wa ukweli tu
Yanawezekana... Kuna milango inafunguka na mingine kufungwa... Niko unattached kihisia ila tight kimajukumu... Urafiki utatosha kwa sasa.... Kujitambua na kubalance mambo ni silaha yangu [emoji13]
Digital and wireless music systems imefanya mapinduzi makubwa sana katika kuufanya muziki utoke kwenye box dogo ila kwa perfomance kubwa sana... Mfano Devialet ya Ufaransa na product yao ya Phantom ni shida sana... A very small box inatoa muziki sawa na speakers kubwa
Mimi ni mwanaume wa miaka 30, sijaoa bado kutokana na vipaumbele vyangu vya sasa; ila napenda niwe na rafiki wa kike wa umri wowote japo awe mrembo kweli.
Napenda sana kusikiliza music wa taratibu, napenda hii sifa iwepo kwa huyu mrembo...
Mwenye sifa ya urembo kwa maana niliyoainisha hapo...
Kama hutojali naweza kuona permission ulizotoa kwenye file la smb.cfg or samba.cfg. (Nimefanya kazi na unix na linux sikumbuki majina yanavyotofautiana)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.