Kuna wimbo ulikuwa unapigwa radio one usiku kwenye kipindi cha mapenzi unaitwa "Last time we made love" wa Tanya Blount
Huu niliutafuta mpaka nikaupata, ni moja wa nyimbo tulivu sana za taratibu
Nyingine ni
1. When you kiss me Shania Twain
2. Breaking My heart MLTR
3. That's why you go away MTLR
4. That Love Julio Iglesias
Nk
Candle hawa Michael Learns to Rock huwa hawakosei hasa kile kibao cha "the actor" huwa kinaniliwaza sana.