Tatizo la wananchi wa Tanzania kisu angechomwa askar ungesikia askar mzembe jeshi LA polis lina askar legelege
Kachomwa huyo jamaaa kwan polis ana mamlaka ya kuua
Tuwe wakweli humu nani alikuwa katika eneo LA tukio na nan anajua ukweli halisi
Tuache kujenga hisia kwa mawazo hasi
Ukiwa na kitu flani bas hata mwenzako anacho inawezekana s kwa uwezo huo ukawa mkubwa au pungufu.
Haimanishi kwamba kila mtu anajua kila kitu katika maisha yake hapana s hvyo tu ni kujenga heshima ambayo itakufanya uwe bora zaidi
Ulimi humfanya mtu kuwa bora zaid
Ukijua ukiichambua democracy na kuifahamu raha saana na ukiijua politics ma kuichambua raha saana
Inaonekana wew ndio huelewi kile ambacho nakimaanisha ila unalazimisha nielewe kile unachokielewa wew kwa upeo wa chin ya kitovu
Comment or like hazinamaaana saana katika thread ujumbe kama umefika umefika tu na pia huku weng washazoea maneno mepesi mepesi ukiandika kile cha ndani zaid watu hawacoment kwakuwa hawaelewi na wanaogopa kuingia katika mitego
Na pia humu watu wana watu wao wakiona thread zao bas wanafuata...
Democracy + politics in hv vitu ukiviweka kwa taifa changa na watu wake wakavielewa tofauti bas hilo taifa halitokuja pata maendeleo mpaka yesu atakaporudi ndio watapata akili
Ni kawaida tu unaufahamu ulinz wa rais wa marekani? Kweli? Acha kuwatisha watu hv kuna rais anaechukiwa zaid kama Donald trump marekan na dunian kiujumla tatizo mnapenda kujua kila aina ya ulinz wa viongozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.