Aunt Ezekiel kuvaa hivi mbele ya mtoto mdogo ni ujanja ama ushamba?

Beautiful Nkosazana

Senior Member
Oct 4, 2016
176
657
FB_IMG_1525274664650.jpg


Aunt Ezekiel akiwa na mwanae
Je! Mama kuvaa hivi mbele ya mtoto wake ni Ujinga, Fashion, Ustaa, Uzungu, Swagga au Uboya?

Aisee wanawake wa kibongo acheni ujinga sio kila kitu ni chakuiga wazungu haya sio maadili mazuri mbele ya watoto wenu.
 
wabongo tunakua maskini sababu tunahangaika sana na vitu vya kipuuzi... mama wa dot com kama aunt ezekiel avae kama mama yangu wa enzi zile kweli aliyezaliwa na kukulia sitimbi... uonagi picha za kina klyn na vichupi vyao au wamama wengi beach na watoto wao wamevaa vichupi.. au hata kwenye mitoko wamekula vimini na mbele ya watoto wao
 
Juzi niko zangu kwenye daladala akaingia Mama mmoja na mtoto wake wa kike miaka km 6 hivi au 7 huyo mtoto kavalishwa kisuruali chepesiii...hlf kimembana hatareee...balaaa lilikuja mtoto ana msambwanda utadhani mtu mzima yule mama akamwambia yule mtoto kaa na Kaka yako hapo yaani akae na mimi
 
Back
Top Bottom