Recent content by Calulator

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanandoa wanasex every day?

    Tupo tena ikiwezekana ata asbhi before gym time na usiku
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hii Gari imenitoa udenda! BMW hii ni model mpya?

    Naona ni x6 tu kama ya mond..au nimekosea..
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hot electronic dance music

    Ain't no body..alieimba jina cna kwa sasa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    It's okay no hard feelings..ila usione mtu kakosea ukaanza kushambulia kosa..uliza i phone users auto typing yake kama una speed katika typing na usiporudia kusoma txt lazma iwe ina makosa ya kutosha tu..
  5. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    Hahaha kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza[emoji23][emoji23]..
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    We jamaa ni kilaza kweli..ujinga unakusumbua..na even you ain't know lugha ya kiswahili kwangu ni lugha ya ziada sanaa..utabaki na ujinga wako wa kukosoa lugha za maandishi..ndio nyie nlisomea ualimu mnalia mpo nyumbani mnasubiria ajira so sio kosa lako..
  7. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    Hahah..na kweli nimeandika nikiwa sijatulia kbsa..ila ukisoma vzuri nadhani maudhui inaeleweka..
  8. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    Cdhani mkuu,maana kama amepewa atume io cash kwa mpesa ameshindwa na kule amesema katuma,ata kama lingekua suala la kutumia bank pia angekula ivyo ivyo..ni uroho tu wa vijana wetu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    Cjapigwa bado..uzuri tuna commision yetu nzuri tu mbeleni
  10. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wa kitanzania wenye Tamaa na hela ndogo wanavyofelisha kampuni walizoajiliwa.

    Habarini wakuu,, Napenda kuwataadhalisha wakuu au maboss wa kampuni hizi kubwa msiwaamini sana vijana wenu hasa kwenye suala la hela hizi ndogo ndogo.. Mm nafanya kazi kwenye kampuni flan ivi ambapo ni dealer wa kampuni kuu iliopo Dar es salaam..miezi iliyopita TMSM walitangaza Tender kama 3...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tulifuta sherehe za uhuru ili kubana fedha kutatua matatizo, je sasa matatizo yameisha?

    Subiri tuone leo anatumbuliwa nani.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani nisome, Kitabu gani wasoma?

    How to increase financial IQ-Robert kiyosaki Huyu jamaa anaeleza jinsi ya kuwa smart na kipato chako na kufanya mambo makubwa,hajalishi kipato na anashauri kama kweli una nia ya kuwa tajili just get smart on spending and Saving..anashauri njia mbali mbali za investments kwa walionacho na jinsi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Alikiba ana views chache youtube.Je ni nini kinamuangusha?

    Zote ulizotaja ni sababu izo..alikiba ndio ma fovourite artist kwa bongo ila bado halijui soko la mziki limekaaje na anaridhika mapema..ye anajua akishaachia ngoma ndio bas io kilichobakia ni show tu na mkwanja alioutarget kupata..hajui kutumia social networks kuexplore fans..akiendelea ivyo...
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alinikimbia kwa sababu ya shule, sasa anataka turudiane

    Uamuzi mbovu utakaoufanya katika maisha yako ukimrudia..
Back
Top Bottom