Hii Gari imenitoa udenda! BMW hii ni model mpya?

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
15774631_1257235674337757_7775963094265276230_o.jpg
 
Mondi anayo pekeyakeeee?
Mtaviza akili kizembe zembe
Wivu utakuua mkuu, hata kama wengine wanazo lkn sio maarufu kama mond!!! Tiambie basi wengine walio nazo tofauti na mond
 
Limondi hata silijui, umaarufu wake ni kwa mkeo tu.
Kwani huyo mondi ana ng'ombe ngapi?
Kama hulijui umesemaje lina hilo gari peke yake? Na umejuaje kama niligugaji mpaka uulize lina ng'ombe ngapi?
Hata kwa mkeo anaweza kuwa maarufu, muulize mkeo halafu ulete mrejesho kama hamufahamu
 
Kama hulijui umesemaje lina hilo gari peke yake? Na umejuaje kama niligugaji mpaka uulize lina ng'ombe ngapi?
Hata kwa mkeo anaweza kuwa maarufu, muulize mkeo halafu ulete mrejesho kama hamufahamu
Usitake ncheke!!!!
 
Back
Top Bottom