Habarini wakuu,,
Napenda kuwataadhalisha wakuu au maboss wa kampuni hizi kubwa msiwaamini sana vijana wenu hasa kwenye suala la hela hizi ndogo ndogo..
Mm nafanya kazi kwenye kampuni flan ivi ambapo ni dealer wa kampuni kuu iliopo Dar es salaam..miezi iliyopita TMSM walitangaza Tender kama 3 ivi ambazo kwa ujumla zote zinarange kwenye Bns 8 ivi ambazo kimsingi kampuni yetu ndio wawakilishi wa kuu kwa dodoma na taarifa tuliwapa kwa ajili ya manunuzi ya hizo tender kwa maandalizi..
Kwa mawasiliano na boss wao ni kwamba Pesa za ununuzi wa hizo tender zimewasilishwa kwa idara husika lakini mwanzio mchezo ulikua haieleweki adi deadline ilipofika tender haijawa submitted on time ilibidi nitoe cash yangu 150,000 ikanunuliwe asbhi katuma tender na ile ela that means nicngetoa cash yangu ile tender ingekua ndio bas tena..ya pili na ya tatu machezo huo huo adi deadline imefika hatuoni cash yoyote nikasema saiv sitoi changu adi mwisho wa mchezo sbr nimbane nione..kumbana jamaa akasema nunua kwa ela yako ntakulipa nlipata matatizo nikaitumia 300,000/= doh ikawa too late..tender mbili ni zaidi ya Bns 6 ivi kaikosesha kampuni yake sababu ya tamaa za kijinga..
Sikuona shida nikajichek mfukoni nikatoa 150,000 that means moja ikawa losted.. More than 3 Bns..ambazo sisi ndio competitor wakubwa na ndo huwa masupplier wakuu
Iyo ela laki moja na nusu na hii laki moja na nusu adi saiv nazisoma namba..hajanirudhishia mwezi na nusu sasa..
Ivi vijana wa kitanzania mna tamaa gani na vijihela vidogo vidogo..
Napenda kuwahasa maboss wa idara zenu jitahidini inshu za hela ndogo ndgo kama hizi muwe mnafanya wenyewe maana mwisho wa siku ata bonus hampati ni sababu ya tamaa ndogo ndogo ya wasaidizi na hata maafisa wa chini yenu..
Nawasilisha..