Hata mimi ningekuwa kiongozi nisingekuwa tayari kumruhusu zitto agombee uongoz wa chama kwa sasa hana nia ya dhati na chama, kuna ukweli ndani yake kwa nini iwe kwake wakati CDM ina wabunge wengi wenye hoja , sera na uwezo kina mnyika, msigwa, wenje,mdee nk kama lengo ni kutaka asigombee kwa...