Wanawake mna magonjwa mengi jamani!

Wanawake mna magonjwa mengi jamani!

Tatizo lako bahili. Bila kukuambia wanaumwa ndo hata hela ya juisi hautoi! Watakudanganyia hadi kansa nakuambia.

Ha ha ha! Hii balaa!
Kumbe tatizo ni ubahili!
Japo sijawahi kuikutana nalo.
(Nimekumbuka wimbo: unapopaata tumia unapokosaa tulia/jutia)
 
aiseee mkuu hiyo ni kweli kabisa yaani wanawake siku hizi wamezidi mi kuna mmoja kila nikimgegeda anadai eti mtarimbo unagusa hadi kwenye maini,mara ooo fanya taratibu tumbo linachoma yaani sipati raha kabisa.
 
Kila msichana ninayekua nae, baada ya wiki moja mbili ya kufahamiana, utasikia tumbo la hedhi, mara vidonda vya tumbo, mara kipanda uso, miguu inauma, kifua kinabana, mara chango etc.
Ivi kitendo cha nyie kudondoka na kujitokeza kuombewa kwa wingi inaweza ikawa pia ni uthibitisho kuwa mpo gonjwa gonjwa sana?!
Make apo ni kabla ya ndoa, ukishaanza kupata complication za kujifungua itakuaje?
Kwanini msifanye full medical checkup?

umesahau U.T.I
 
Una uhakika na unachosema? unajua Life expectancy ya mwanamke na ya mwanaume ni yupi anaishi muda mrefu? jibu kwa tafiti za kisayansi ni mwanamke sasa kama wana magonjwa magonjwa inakuwaje hivyo?
pia huu mtindo unakuja namawazo mgando ya kushambulia kila siku wanawake we have to change, we must change and we will change! sio kitu kizuri unasema hedhi ni ugonjwa nani kakwambia? kujiangusha kwenye mahubiri ni ugonjwa?
be smart mkuu!
 
Maradhi yanampata yoyote yule! japo wanawake wanashawishi kuingiliwa na maradhi kirahisi kwani wengi ni wavivu mno.hawapendi ata kutembea tembea kuichangamsha damu,mazoezi ndio kabisaa hawataki kuyaskia ni wachache sana ambao wameanza kuamka kuhusu kufanya mazoezi!
 
yawezekana we hujui kudekeza sasa njia rahisi ya kudekezwa ni kujifanya anaumwa ili ufanye... jifunze mahabati mkaka dekeza mtoto adeke loh...
 
aiseee mkuu hiyo ni kweli kabisa yaani wanawake siku hizi wamezidi mi kuna mmoja kila nikimgegeda anadai eti mtarimbo unagusa hadi kwenye maini,mara ooo fanya taratibu tumbo linachoma yaani sipati raha kabisa.

kama unaingiza kama unatwanga kisamvu asiseme kama anaumia....
 
article-2474859-18F3B30D00000578-701_634x376.jpg

Tena hapo ni baada ya kudrop kutokana na wanaume wengi kupata kazi za offisini kuliko wanawake na wengine kukwepa kazi ngumu za kulisha familia mfano mwanaume wa kijijini anaamka ahsubuhi anakwenda shambani na mke wake wakitoka anambebesha mkewe kuni, mboga pori,majembe yao mawili na wakifika nyumbani anadai chakula!
 
Nje ya mada.
Jana jioni nilikutana na mdada, nikadhani yuko chuo, nikamwomba namba,kumbe anasoma kidato cha 3 ili kuthibitisha hajanipa namba ya gari, nikam-bip. Bahati mbaya ni sikuisevu, nikijua ni mtoto.
Asubuhi hii kabla ya saa moja nakuta msg ya tafadhali niongezee hela.
Ikabidi nipige kwani ni namba ngeni kwangu, akadai ni "mimi yule wa jana niliyekupa namba".
Sasa najiuliza, ivi nyie wanawake, mnadani wanaume mda wote tuna hela tu?
Afu hata hatujakaa kuongea na kuzoeana kweli?
Ivi sisi tukiwaomba mbunye bila kuzoeana tena barabarani mtatupa?

inategemea gear yako
 
King'asti!!!!

Hopelesheni nitamushilisha Kakajambazi awe muasibu maana jangiri rinataka hopelesheni iwe oteri ya nyota tano. Uyu muasibu ana CPA ya kuzibiti mapato na matumizi kwenye hopelesheni

Hiki ni kiswahili, au cjui kusoma wadau?!
 
Kumbuka hujafa hujaumbika hakuna anaependa kuumwa. Alaf hao unaowasema inaweza tokea cku wakakuuguza wewe so dont be that harsh.
 
Kila msichana ninayekua nae, baada ya wiki moja mbili ya kufahamiana, utasikia tumbo la hedhi, mara vidonda vya tumbo, mara kipanda uso, miguu inauma, kifua kinabana, mara chango etc.
Ivi kitendo cha nyie kudondoka na kujitokeza kuombewa kwa wingi inaweza ikawa pia ni uthibitisho kuwa mpo gonjwa gonjwa sana?!
Make apo ni kabla ya ndoa, ukishaanza kupata complication za kujifungua itakuaje?
Kwanini msifanye full medical checkup?

Naungo mkono hoja wanawake bhana miili yao ni complex sana nilikuwa nampango after 5 years to come kuoa lkn baada ya kuona hiyo mambo nimeongeza 5 mingine utafurahiaje maisha hata kama unapesa huku mwenzio kila cku anasumbuliwa mara tumbo, ulcers etc bora aumwe mume maana ke wanatiaga huruma nakukuchoka juu
 
Back
Top Bottom