Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

nakupa BIG UP mchange.
hapo umemaliza kila kitu, asante sana kutupatia msamiati mpya wa ''WAGAZA''
 
Thank You Mchange,

KUKU NI KUKU TUH,JOGOO JINA,

HAPA KUKU NI DR SLAA,

Na itoshe sasa tumuambie ya kwamba yeye na hao vifaranga anaowafuga wameshatambulika na kudharaulika na watanzania wote,na kwa sasa wasubiri tuh kuwa MUDA tuh NDIO UTAKAOWAHUKUM...

NI KWELI NAKUBALIANA NAWEWE KWAMBA HADI HAPA MSHINDI AMESHAFAHAMIKA

huyo zitto wenu hajatolea maelezo ya kuridhisha tuhuma zile,anajibu juu juu tu,anaona aibu kuacha siasa lakini kimsingi ameshastukiwa tamaa yake ya hela za mafisadi.,kumshindanisha slaa na zitto ni sawa na kushindanisha pilau na ugali wa muhogo,acheni utani nyinyi.
 
Mkuu wewe bado ni mwanachama wa cdm or ushajitoa?
Maana naona unatukana mkunga angali uzazi bado upo?
Nways ngoja tusubr tamko la wengine nao waliotajwa kwa hyo report naikumbukwe kila andishi litokanalo na matamko yenu linazidi kutupa mahasa ya kuhoji zaidi:

"Kwa nini wassira na mwigulu kwa nyakati tofauti wamesikika wakisema chadema itakufa kabla ya 2013"?

Kwasbb report inaonyesha waliratibu hiyo mipango ya kuua chama.
 
Hivi mara ngapi Katibu mkuu wa CCM ametuhumiwa Ujangili,viongozi wangapi wa ngazi za juu CCM wametuhumiwa kuhusika na madawa ya kulevya,viongozi wangapi wa CCM wametuhumiwa ufisadi na wizi?Mara ngapi mwenyekiti wa CCM mheshimiwa JK aliwahi kuzitolea ufafanuzi tuhuma hizo za viongozi wenzie?Acheni unafiki na uzandiki,who is Zito by the way,mpaka Mwenyekiti au Katibu mkuu alitolee ufafanuzi?Hiyo ni ishu personal lakini kwa busara CDM waliyonayo Mnyika ameishaitolea ufafanuzi,wht next mnataka?Nilisema toka mwanzo badala ya kuja hapa na kutishia watu mahakamani;aseme hizo namba sio za kwangu,hao wanaosemekana kutumiwa hela sijawahi kuwatumia,au hata kama niliwatumia zilikuwa za kuninunulis mboga nyumbani au mimi ndiye mhasibu wa CDM nilikuwa nawatumia mishahara;Hapo tutawaelewa!

Mkuu hapa ndipo tunapokesea kufananisha CDM na CCM!! Hainingii akilini kwa CDM kuanza ku-practice yale mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM. Mi nilifikira kwa kuwa CDM ni chama makini isingetazama Kinana, JK wala yeyote hasa pale wanapotuhumia na wakakaa kimya. Chama makini kingetakiwa kijibu shutuma na kujisafisha kuliko kukaa kimya kama CCM. Tofauti inakuwa wapi kati ya chama makini na chama hovyo hovyo??
 
kwa hiyo unataka CDM ifanye kama inavyofanya CCM?.

Elewa kinachoelekezwa... tatizo wote ndani ya CCM kuelewa mantiki ni ngumu mno... Kwanza washaivuruga elimu eti kwakuwa watanzania wakiwa wajinga ndivyo wanavyoichagua CCM...mara mwenyekiti wenu alishaamini eti kuna sinema inaitwa "DARWIN'S NIGHTMARE" kumbe ilikua ni documentary yenye mantiki tofauti na uelewa wa mkuu....! na hapa naona yale yale.....!

Kilicho ainishwa hapa ni kuwa hata CCM sensorship ya wanachama na viongozi watukutu wanapeana adhabu na marekebisho na maonyo pia! Laajabu eti yakifanyika CCM yasufanyike CDM ?
 
yani mtu atibue mambo hahalfu aangaliwe tu kisa akitoka itaonekana sijui muislam ametengwa!!!rubbish comment of the day,huyu ataondoka na cdm itabaki,infact hata aondoke mbowe na slaa chadema itabaki.

Pouwwa. Ngoja tuone. Sisi yetu macho.
 
It's a sad saga to read
what I can say, it is utterly imperative for budding political parties to build up formidable structures especially governance structure and not to rely on personalities or in extreme cases personality cult of viongozi who assumed leadership.

No doubt name calling or fingerprinting Of senior operatives at this point in time on what I consider to be flimsy issues does not auger well or at leat, should not feature in the roadmap towards 2015 showdown!
 
Hata mimi ningekuwa kiongozi nisingekuwa tayari kumruhusu zitto agombee uongoz wa chama kwa sasa hana nia ya dhati na chama, kuna ukweli ndani yake kwa nini iwe kwake wakati CDM ina wabunge wengi wenye hoja , sera na uwezo kina mnyika, msigwa, wenje,mdee nk kama lengo ni kutaka asigombee kwa nini wasiwachafue na kina mnyika et al naamini mabadiliko ktk uongoz yatafanyka vzr sana ila kibaraka wakuharibu chama hatumhitaji
 
Mkuu hapa ndipo tunapokesea kufananisha CDM na CCM!! Hainingii akilini kwa CDM kuanza ku-practice yale mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM. Mi nilifikira kwa kuwa CDM ni chama makini isingetazama Kinana, JK wala yeyote hasa pale wanapotuhumia na wakakaa kimya. Chama makini kingetakiwa kijibu shutuma na kujisafisha kuliko kukaa kimya kama CCM. Tofauti inakuwa wapi kati ya chama makini na chama hovyo hovyo??

Mkuu hoja yangu sio wajifananishe na CCM,hoja yangu ni kwamba Mwenyekiti ni mtu mkubwa sana,itakuwa ni aibu kila tuhuma kwa baadhi ya viongozi eti anakuja Mwenyekiti na kuzitolea ufafanuzi?Wako watendaji wengi ndani ya Chama ambao kimsingi ndiyo kazi yao (Mheshimiwa Mnyika ameshatoa maelezo).
Watu wanataka mpaka Mbowe aongee,kuna vitu vya kuongea Mwenyekiti na vingine havihataji kauli ya Mwenyekiti.Ndo maana nikafananisha na CCM kwamba utamsikia kila siku Nape anaongelea Kinana na Ujangili n.k lakini huwezi kumuona eti mheshimiwa Kikwete Mwenyekiti wa chama anaita waandishi wa habari eti anatolea ufafanuzi ushirikiano wa tembo na Kinana!
 
na bado mtatapatapa sana huku siri zenu,uzandiki na undumilakuwili wenu vikianikwa hadharani kimoja baada ya kingine,hakuna rangi ambayo hamtaiona masalia na rais wenu mzee wa panya.vijana mmeharibiwa political future yenu na huyu jamaa ila hamkomi tu.
 
Yaani nimecheka sana
Inshort kuna ujinga fulani hivi watu wanao kichwani
Hivi chama chochote ni cha mtu mmoja eeh!!?
If not y zitto zitto! !!! Tied of this
Cdm km chama kingine chochote hakiwezi kufa eti sbb zitto cjui kajitoa, kwani yy nani??

Yaani ht ikitokea zzk kakosea asipigwe ban kisa muislam cjui sio mchaga yaani ujinga tuu.

Inferiority complex plus ujinga tu
 
Tuna kazi sana kama nchi!mnoooooooo!
NA HII NDIO DEMOKRASIA TULIKUWA TUNAAMINI TUNAYO!
NA HAKIKA 2015 iko mbali sana!
 
huyo zitto wenu hajatolea maelezo ya kuridhisha tuhuma zile,anajibu juu juu tu,anaona aibu kuacha siasa lakini kimsingi ameshastukiwa tamaa yake ya hela za mafisadi.,kumshindanisha slaa na zitto ni sawa na kushindanisha pilau na ugali wa muhogo,acheni utani nyinyi.

Atolee majibu wapi??yeye si alikuja kukanusha akawaambia nyinyi vifaranga mlete ushahid yeye awajibike nyinyi kwa ujuha wenu mkaja kuleta risit za hotelin,sasa mnatumia akili kweli au matope kufikiri??

Ule unaweza kuita ushahid kweli??

Unasema hatuwez kumfananisha zitto na slaa na kwamba slaa yuko juu ya zitto kwa hoja zipi??

-Slaa kamkuta zitto chadema??

-Slaa ni religious extrimist zitto yuko hivyo??

-Zitt ana elimu kubwa kumzid slaa,au unataka kufananisha udokta wa mambo ya dini alionao slaa na elimu aliyonayo zitto??

-Zitto kakipigania hiki chama pamoja na watu kama mbowe,slaa kakaribishwa tuh,sisi tunaona zitto ni zaid ya slaa kwa kila kitu na nyinyi mnalitambua hilo
 
kwanza kwa kuweka rekodi sawa william malecela ndiye alikuwa anajiita le mutuz le big show,wewe copycat usiye mbunifu ukadandia jina lake like a groupie!!!
zitto anajitangazia muasisi wa chadema wakati kipindi chadema inaasisiwa yeye alikuwa machakani mwandiga anapangusa makamasi kwa flana na kuwinda ndezi.
unaongelea field mbili tofauti,ndio maana magufuli ana phd ya korosho na ndugai ana masters ya wanyama
kwenye siasa zitto ni ugali wa muhogo slaa ni pilau utake usitake..
tunazungumzia yeye atoe ufafanuzi wakina na wa kisayansi kama ile ripoti ilivyotoa,yaani tarehe na transactions zilivyokuwa zikifanyika.
wewe kama unajiona harakati hizi za ukombozi zina chembe ya jihad kajiunge na alshabaab maana udini ndio umekujaa.
mnyika ameshafunga mjadala acheni kulialia.
 
Aah,

KUMBE NAJADILIANA NA MWEHU,

UNAANZA TENA KUJADILI JINA LANGU NA AVATAR TENA??

WEWE AKILI YAKO KAMA JINA LAKO AISEE,WEWE KWELI MAANDAMANO,

LEO UNAENDA KUANDAMANA WAPI??

MSUKULE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom