Recent content by call m J

  1. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Girlfriend wangu ka disco chuo

    Amedisco mzumbe sio?? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kunioa

    Hapo kwenye uchaga ndio umejiharibia! Any way watakuja wachaga wenzako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba hata diploma wanaomba mkopo kupitia HESLB?

    Hakuna kitu Kama hicho! Pambana na hali yako tu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    JamiiForums Tanzania Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

    Joshua 1:1-mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nina Shida kubwa sana, naomba msaada wa haraka

    Badilisha jina kwanza! Matatizo kibao jina chatu kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kuchukua machangudoa

    Weka picha tuone
  7. C

    JamiiForums Tanzania Sex after menstruation period, unaweza kupata mimba?

    Wakuu habari ya jioni, Niende kwenye swali moja kwa moja, "Je inawezakana mwanamke akapata ujauzito kama atafanya mapenzi mara tu baada ya period kuisha? Mfano period imeisha usiku wa kuamkia Jumapili 16/4 na yeye akafanya mapenzi tarehe 17/4.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, North Korea ina uwezo wa kumnyamazisha mmarekani

    Mkuu Israel ni Taifa teule la Mungu hakuna taifa litakaloweza kuishinda Israel.For more information soma Biblia kitabu cha Kutoka /Exodus
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mtu anawezaje kulenga watu saba gizani...

    Kuwavua vest??? Duuu unaongea kama ulikuwepo vile!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa dizaini hii wapo?

    Akili yako ya 1 MB ndio inakushauri hivyo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kila nikimwomba kuja tufanye mapenzi anasingizia anaumwa

    Acha kufananisha vitu vya kijinga na Yesu kijana
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anapost sana picha zake Insta na Facebook

    Hebu muite aje apost hapa picha yake tumuone kwanza! Usikute ana inferiority complex
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa dizaini hii wapo?

    Hivi selection za hawa wanafunzi wanaoenda kidato cha tano bado tu?? Mawazo mgando haya ni shida sana
Back
Top Bottom