omary sadick
Member
- Jul 16, 2017
- 40
- 14
Napenda kuuliza nasikia ya kwamba pia walioomba diploma pia wanaomba mikopo????
KumbeeeMikopo ipo kutegemea na unachokisomea
Kwa upande wa afya kuna wadhamini wanafadhili kulipia wanafunzi kwa kipindi chote cha masomo na hii hupatikana ukishafika chuoni
Kwaiyo diploma nao wanaomba mikopo 2017/2018?Kwenye maonyesho yao walisema diploma anapata mkopo msingi ni kukidhi vigezo
yani ili swala la diploma na mikopo hii mbona silielew elew hiv,,,
Vigezo tajwa vp? Waweza kutuma mkuu?
Thanks,,,,,,,,