Recent content by Calist

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwa sumatra iringa

    Kwanza naipongeza sumatra Iringa kwa kazi nzuri hasa kwa kuwabana wenye dala dala wanaokatisha njia. TUNAOMBA DALA DALA ZA NJIA YA KIHESA KILOLO ZISIENDELEE KUGEUKA KWENYE KONA BAADA YA KUANZA KUTUMIKA KWA BARABARA YA RAMI VINGINEVYO MAAFA YANAKUJA. Ni bora stand ya kugeuza isogee sehemu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Chupa tupu za plastic zinauzwa

    hivi wanaouza bidhaa kwa tenda wanakuwa hawajui wauze wapi? Ndg sehemu za kuuza ziko nyingi hapa najaribu kupanua wigo wa soko
  3. C

    JamiiForums Tanzania Chupa tupu za plastic zinauzwa

    Nauza chupa chakavu za plastic kwa mwenye kuzihitaji ni PM tafadhari zipo kilo zaidi 8000
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wingi wa bendera za CCM, Makambako-Iringa

    Ungejiuliza kidogo ni chama kipi chenye wabunge mbeya mjini na Iringa mjini.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Ipo M/ benz saloon ya 1993 Bei 3.5M tu iko vizuri sana unajaza wese na kwenda mkoa wowote ndani ya TZ. Namba ni ADH.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Zinauzwa chupa chakavu za plastic

    Kwa wale wadau wa kununua chupa chakavu za maji na juice tuwasiliane kwa namba 0753543236, ziko zaidi ya kilo 8000 vile vile waweza kuwasiliana kwa PM.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi

    Naona kama vile unachelewa mimi binafsi nimefanya maamuzi kama hayo tangu October 2013 sasa nimerudi shamba napambana na kilimo cha umwagiliaji nina amani sana. Fanya maamuzi magumu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Nashindwa kushangaa haya mazaga zaga yoote yaliyolundikwa mezani yamehusishwa vipi na tukio la kuvamiwa kwa Dr. Ni miongoni mwa mali zake zilizoibwa? Kajipange upya kama hamkujifunza kwenye conteiner la visu vya mahita. otherwise ile kauli ya ' wapigwe tu' inaendelea kutekelezwa.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Propaganda nyepesi sana hiyo, kofia! kova mwenyewe maelezo yake hayaeleweki.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kama unauza M/Benz 102, 111, 202 au 203 engine.

    Wapendwa kama kuna yeyote anayeuza M/Benz 102, 111, 202 au 203 ani PM budget yangu ni TSH 5M. Asanteni
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta suzuki pickup carry ya kununua

    Nami naihitaji hiyo suzuki carry truck napatikana kupitia 0753543236 karibu.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kukodi kwa kilimo cha mboga mboga

    Wapendwa nahitaji shamba la kukodi kwa ajiri ya kilimo cha mboga mboga, ( nyanya, hoho, kabegi,nk) liwe na maji kwa mwaka mzima kwa sababu napendelea zaidi kilimo cha umwagiliaji, lisiwe mbali sana kutoka Iringa Mjini. Karibu sana
  13. C

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CCM inaipa NEC Mkoa uwezo wa kumfukuza mwanachama na kiongozi

    Wakina nshomile hakuna kurudi nyuma fukuza hao madiwani ili wajiunge upande wa pili huko wataweza kufanya kazi ya kuwatumikia wana BKB ndani ya CCM kama wewe huungi mkono ufisadi basi ujue huna maana.
  14. C

    JamiiForums Tanzania nssf

    Duh! kama ni baada ya wiki moja safi sana maana hata mie niko mbioni kuachana na kazi za kuajiriwa huo mkwanja nikiupata mapema nitaweza kufanya kitu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Conteiner la ft 20 linahitajika haraka

    Nahitaji conteiner la ft 20 kama unalo ni Pm tafadhari, kama litapatikana maeneo ya Iringa itakuwa bomba zaidi. Karibu sana.
Back
Top Bottom