Kwa sumatra iringa

Kwa sumatra iringa

Calist

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
130
Reaction score
7
Kwanza naipongeza sumatra Iringa kwa kazi nzuri hasa kwa kuwabana wenye dala dala wanaokatisha njia.
TUNAOMBA DALA DALA ZA NJIA YA KIHESA KILOLO ZISIENDELEE KUGEUKA KWENYE KONA BAADA YA KUANZA KUTUMIKA KWA BARABARA YA RAMI VINGINEVYO MAAFA YANAKUJA.
Ni bora stand ya kugeuza isogee sehemu wanayokaa Trafiki pale kuna sehemu kubwa ya kugeuza gari kwani palikuwa pameandaliwa kupima uzito wa magari makubwa na pako wazi hakuna kona. BW.Kondo tunaamini utalishughulikia hili kabla ya maafa dala zinapiga U TURN kwenye kona.
 
Back
Top Bottom