Chupa tupu za plastic zinauzwa

Chupa tupu za plastic zinauzwa

Calist

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
130
Reaction score
7
Nauza chupa chakavu za plastic kwa mwenye kuzihitaji ni PM tafadhari zipo kilo zaidi 8000
 
Just a joke: Sasa hivi utasikia wadau wakidai picha.... Biashara hatuna maneno mengi tu. Mie nakutakia mafanikio kwani mtaji sina.
 
Hivi mtu unaweza kwenda kukusanya chupa za plastiki bila kujua utaziuza wapi?
 
Hivi mtu unaweza kwenda kukusanya chupa za plastiki bila kujua utaziuza wapi?

We jamaa umenisaidia nilitaka kujua hilo tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Njoo tupime huku keko tunaziitaji chupa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hivi mtu unaweza kwenda kukusanya chupa za plastiki bila kujua utaziuza wapi?

hivi wanaouza bidhaa kwa tenda wanakuwa hawajui wauze wapi? Ndg sehemu za kuuza ziko nyingi hapa najaribu kupanua wigo wa soko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom