Wingi wa bendera za CCM, Makambako-Iringa

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
644
aisee hili swala lilinshangaza sana juzi nkiwa natoka mbeya kuja dar kuanzia makambako nilishuhudia bendera zaidi ya 40 pembezon ya highway za CCM na bendera moja pekee ya CDM sasa naileta kwenu hivi nikwel hawajamaa wameshika sana huko mikoani hususan eneo tajwa hapo juu??

nb: sina ushabiki na chama chochote cha siasa ila nmeshangazwa na hili jambo
 
brother,sasa kama hunaushabiki ,unachoshangaa kitu gan hapooo??

CCM inabamba ovcoz kipande icho.
 
inaonekana CDM ni kanda ya ziwa ndo inabamba

Nadhani cdm si kwamba watu wanaichukia kama chadema. Ni ile mienendo yao ambayo haiashirii mabadiliko na ukombozi kwa mtanzani.

Wamekuwa wakifanya yaleyale ambayo wa tumekuwa tukiyapigia kelele. Kama ni ufisadi,hata wao wanafanya even if hawajapewa nchi. They show no elements of economic and social revolutions kwa watanzania.

Wana maneno na Ilani nzuri sana majukwaani. Lakini hata ukichunguza kwa kiongozi mmojammoja,haileti matumaaink hata kidogo.

So,ngoja tuskilizie itakuwaje.
 
aisee hili swala lilinshangaza sana juzi nkiwa natoka mbeya kuja dar kuanzia makambako nilishuhudia bendera zaidi ya 40 pembezon ya highway za CCM na bendera moja pekee ya CDM sasa naileta kwenu hivi nikwel hawajamaa wameshika sana huko mikoani hususan eneo tajwa hapo juu??

nb: sina ushabiki na chama chochote cha siasa ila nmeshangazwa na hili jambo

Weka picha tuone
 
Kama bendera hizo zinapepea kwenye maduka ya wafanyibiashara wa huko, itakuwa wanatekeleza 'maelekezo' ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Fredrick Sumaye, kuwa ukipeperusha bendera ya CCM kwenye biashara yako, ni kama vile umeweka 'hirizi' ya biashara ambapo utavuta wateja wengi sana!

Lakini alichokuwa anamaanisha kiuhalisia ni kuwa kwa sababu wao ni chama dola. kwa hiyo 'wamewaelekeza' wakusanyaji mapato kuwa, wakifika kwenye biashara ambako bendera za chama tawala zinapepea, basi 'wawamezee' kwa kuwa hao ni wenzao na wafadhili wao wakubwa ambao ndio wanaokipiga 'tafu' chama chao, hasa hasa wakati wanapoingia kwenye kinyang"anyiro cha chaguzi mbalambali, wanapopambana na vyama vya upinzani!
 
Ungejiuliza kidogo ni chama kipi chenye wabunge mbeya mjini na Iringa mjini.
 
Back
Top Bottom