Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

ntunga

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
16
Reaction score
9
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.
 
nina nissan march namba AXU ninauza kwa 3.5milion, nitafute 0716 002323
 
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.

Ipo yenye AQT, SH 4.2M, Mitsubishi Lancer, 1999, iko Mbeya, CC 1597, MILAGE 149,000KM, NIMEIPOST HATA HUMU JANA. 0652 656565
 
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.
ipo Suzuki Escudo 5-Door, 1590cc, (Manual), YOM-1994,,Bei 5,200,000/=,,Contacts: 0783-115545, Arusha..

2s8s214.jpg
s3j2qa.jpg
2cztxzl.jpg
 
Nina Bedford ya mwaka 1972, cc 2100, milage: 420,000 km. Manual transmission na iko kwenye Good condition...

Namba: TZ

Milioni 2.5 tu...

Thanks TANMO. Umenifurahisha sana!
 
Last edited by a moderator:
Wana jamii forums, ninanunua magari kwa thamani isiyozidi milion saba (7Mil). Yeyote mwenye gari aina yoyote tuwasiliane. Namba za gari ziwe namba B au C au D.

Mwenye gari namba A nitanunua kwa thamani isiyozidi 4.5Milion kutegemea na aina ya gari na uimara wake.
Nina gari aina ya toyota vista.nitafute 0652622556
 
Ipo M/ benz saloon ya 1993 Bei 3.5M tu iko vizuri sana unajaza wese na kwenda mkoa wowote ndani ya TZ. Namba ni ADH.
 
Nina Bedford ya mwaka 1972, cc 2100, milage: 420,000 km. Manual transmission na iko kwenye Good condition...

Namba: TZ

Milioni 2.5 tu...

Kwa traffic nitatoboa kweli?
 
Ninayo Honda fit kwa 7.8 mil. Nipigie 0715184225
 
Nina vitz nimeiingiza nchini mwezo wa sita mwaka huu,namba yake ni CYB..,haina tatizo lolote,ni low mileage na inakula mafuta vizuri sana,nataka 7.4 mil mkuu,karibu
 
Back
Top Bottom