Recent content by CAIN

  1. C

    Nipeni ushauri kwa hawa wanawke watatu

    Huyu **** asituzingue, anajua nini analofanya na maamuzi anayajua yeye mwenyewe...
  2. C

    Watakuwa hawajanichakachulia kweli mchumba wangu?

    Mh sasa na yeye akifikiria kuhusu wewe kuwakamua wengine unafikiri itakuaje??? Mi nahisi wewe unafanya mambo yako kwa wengine na ndo maana unakuwa na wasiwasi. Kama wakamua wengine ujue "Mla vya wenzake na vyake huliwa vilevile..."
  3. C

    Kwa Wale ndugu zetu wanaopenda kuja huku Ughaibuni hebu angalia hii picha ya hapo

    Aaah acha unafiki wewe, ina maana mwili wako umekuwa tofauti na miili ya hawa uliowaacha huku kana kwamba wao wakija huko wataganda!!!! Mbona wewe hujaganda na mpaka umeweza tuma hii post. Acha kujishebedua wewe... Sema tu ulitaka kutuambia kuwa uko Edinburgh na sasa ni baridi kali... basi...
  4. C

    Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

    Jamani hayo ni maoni yake tu. Hata mimi nawauliza hao Chadema, wao wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha bungeni na wananchi haohao wakamchagua rais JK, sasa wanapogomea hotuba yake ya ufunguzi wa bunge huku wakiendelea kudai wao ni wabunge ina maana gani? Basi ni bora wagomee na huo ubunge...
  5. C

    GE2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

    Sasa kama nyie mna matokeo ya urais basi yawekeni hapa JF angalau mjfariji, pia ikiwezekana mtangaze kuwa hayo ni matokeo ya uchaguzi wa JF na hivyo awe rais wenu. Mnalalamika lalamika.... hajatokea kwenye kutangazwa mshindi wa kura kwa sababu anona aibu. Alijitamba sana kuwa atakuwa rais na...
  6. C

    Mume wa mtu anapenda kunusa chupi yangu niliitumia

    mama big we endelea tu na hako ka mchezo, jamaa kaanza na chupi yako kisha ataelekea kunusa na mlango wako wa taka ngumu (akisingizia anapenda harufu yake) mwisho auchakachue nao wote. Jasho na kiny*** kitakutoka
  7. C

    GE2010 Na hii ya ridhiwani kukataa kupafahamu la kairo hotel mnalionaje?

    Yani hata ingekuwa mtu mwingine angeingia ikulu basi haya haya yangesemwa. Tuachane na pumba hizi na tusonge mbele tuna mambo mengi sana ya msingi kuongelea na si huu uzushi na uchonganishi hapa. Usitafute umaarufu kwa kumchafua mwenzio. Huo ni ushenzi na Ufedhuli
  8. C

    GE2010 Ccm na ushindi wa kishindo wa 80%

    Mfa maji haachi kutapatapa....
  9. C

    GE2010 Ccm na ushindi wa kishindo wa 80%

    Hee hivi huyu chizi katoka wapi tena??? Au macho yake yanaona "upside down" niniiii????? Kwani hadi sasa ni chama gani kinaongoza viti vya ubunge??? Jamani msaidieni mwenzenu huyu inaelekea haoni vizuri au tv yake inanasa somalia. mpaka sasa kati viti vya ubunge vilivyowasilisha matokeo yake...
  10. C

    GE2010 Matokeo ya uchaguzi mwaka huu ni rasharasha mvua yenyewe ni 2015

    Mh.. jamani kwani kimetokea nini??? Mbona nahisi harufu ya kushindwa inanukia hapa.... Tusikimbiane jamani, chondechonde....
  11. C

    GE2010 PICHA: Kikwete alivyofunika jana huko Mwanza

    Jamani hayo malori ni watu wenyewe ndo walijipanga na kuyakodi ili kwenda msikiliza raisi wao mpendwa. Kwani kuna shida gani kupanda malori??? Mi sioni hiyo kama ni sababu ya msingi. JK anapendwa jamani...
  12. C

    GE2010 Kuwepo mdahalo kati ya CCM na upinzani. Je ni sawa?

    Kwenu wanaJF. Je ni sawa kuwepo kwa mdahalo kati ya CCM na vyama vingine vya upinzani??? Nimependa niweke mada hii kwa mambo mawili.. matatu yafuatayo: - Kwanza: Kuweka mdahalo kati ya chama tawala CCM kilichotawala kwa zaidi ya miaka 40 na vyama vya upinzani (Chadema, CUF, UDP...
  13. C

    GE2010 BANG! Wamuidhinisha JK kwa Urais...Ikoje Hii?

    Jama tusiwe wanafiki.. Hivi hapa JF wanavosema Slaa ndo raisi wao 2010 - 2015 wanatofautiana na hao wa Bang! Mi naona kila mtu ana haki ya kujielezea hisia zake. Au JF wao ndo wana haki zaid ya wengine??? I'M DARE TO TALK OPENLY
  14. C

    GE2010 Ni Mgombea yupi atapoteza maisha kabla ya Jumapili?

    Kweli hata mimi kwa hili nakuunga mkono. Hakuna ajuaye siku ya kufa mwenzie ila Mungu tu. Huyu jamaa anadai anatabiri.. nahisi anawaua yeye huyu... Mi sipendi kabisa uzushi na mambo yake huyu jamaa... Ananikera mpaka basi @#&*%$@@@**#
  15. C

    GE2010 NEC Kutopeleka vifaa vya kutosha kwenye majimbo ambayo upinzani una nguvu

    We endelea tu kuleta uzushi na uchochezi wako hapa ukifikiri hilo litakusaidia. Tena na uende ukahakikishe jina lako katika kituo ulichojiandikisha isije fika siku hiyo ya kupiga kura halafu useme hee mbona jina langu silioni. Maana hamkawii watu kama nyie kwenda mmechelewa halafu mnaanza...
Back
Top Bottom