Matokeo ya uchaguzi mwaka huu ni rasharasha mvua yenyewe ni 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya uchaguzi mwaka huu ni rasharasha mvua yenyewe ni 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gosbertgoodluck, Nov 1, 2010.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia matokeo ya uchaguzi mwaka huu kwa ngazi zote tatu za urais, ubunge na udiwani. Kwa kweli matokeo yanatia moyo na kuamsha ari ya mabadiliko zaidi. Hii ni salamu tosha kwa chama kilichokubali kuongozwa na "waswahili" wenye kiburi na dharau kubwa, wanaokumbatia mafisadi. Na hizi ni rasharasha tu. Mvua yenyewe itanyesha mwaka 2015 Mungu akitujalia uzima.
   
 2. C

  CAIN Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mh.. jamani kwani kimetokea nini???

  Mbona nahisi harufu ya kushindwa inanukia hapa....

  Tusikimbiane jamani, chondechonde....
   
 3. mpingo

  mpingo Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 64
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Tuombe uzima...........I wish.........13st October, 2015 iwe next week!
   
Loading...