Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

Tunaomba link ya owino tumjibu wenyewe manake huyu ni kafiri mkubwa angekuwa anajali nchi yake kwa yeye tu kuwa london tulitegemea awe na mchango endelevu kulikomboa taifa hili, kwasababu ukitua tu jiji la london kitu cha kwanza mtanzania utakachokumbuka ni jinsi tulivyonyuma saaaana ukilinganisha na wenzetu yaani ni kama tumetoka vitani jana sasa watu wanaanza kurejea, hapo hujaingia kwenye barabara zao, treni zao, yaani kwa mtanzania mzalendo utaumia saaana na kulaani hivi viongozi wetu wanaenda london several times huwa hawayaoni hayo? Kwahiyo niseme tu kwamba owino ni either mtoto wa makamba, lowasa, rostam, waziri, au katibu au kamishana ambaye yupo london kwa kutumia pesa za walipa kodi walalahoi wa tanzania wanaohaha na maisha bongo-buliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiishit owin mawazo mgando alitaka wabunge wampigie makofi mwizi welldone chadema na bado tutawaumbua saana
 
Maina Owino namfahamu kwa kuwa nimesoma naye. Ni mtu anayependa sana sifa, ukubwa na mwepesi sana wa kujipendekeza kwa wakubwa ili apate anachokitaka. Na kwa jinsi ninavyoijua CCM, watu wa namna hiyo ndio wanaowataka, akina ''Ndio Mzee'' na pia ambao wanaweza kuupepesa mdomo. Maina ukimpa jukwaa lazima atashinda Ubunge. Kwa hiyo lengo lake ndani ya CCM linaweza kufanikiwa.

Lakini Maina huyo huyo alikuwa NCCR Mageuzi enzi zile Mrema akiwa moto wa kuotea mbali. Nachelea kusema kwamba, huyu jamaa fitna za kwenye siasa anajua jinsi ya kucheza nazo na waraka wake huu wala siushangai kwani, CCM bila kimbelembele na kujipendekeza huwezi kufika mbali.
 
Jamani naomba msaada kwa wanomjua Maina, huyu Maina Owino ni ndugu yake Peter Owino ambaye chadema walimtaka agombee Ubunge akatakaa kwa sababu ya Maina Owino au hawana uhusiano. Tunavyojua sisi Peter Owino ndio mkubwa kwakina Maina Owino na huyu Peter ni Chadema, tangu alipoacha kazi serekalini na alikuwa Uingereza zamani ndipo akampereka Maina wa ccm mwaka 2000.kama kuna wanowajua tunaomba ufafanuzi.

Jack
 
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.

Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.

Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.

Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.

Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.

Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.

Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.

Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...

Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.

MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)

deeeeeeeeeeeeeeeiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimi tooooooooa kinyaaaaaaaaaaaaa hapa;;;;
 
Nahisi MAWINO ni kifupi au kuchakachua jina la Mtoa mada yaani M=Maina, A = Angela (Ang'eila) na INO = herufu za mwisho za owINO. Hivyo aliyeleta mada hapa JF ni huyu huyu Maina. Tafakari
 
People with such idea, who can not respect others with different views or perception, why do they want us to agree with them???!!

I tend to believe this guy is one of the beneficiaries of the current system that undermines democracy, exploitative and dubious!!

How can a person or people remain silent while they believe that the electoral results were tempered?! This is unbecoming and unacceptable
 
Jamani hayo ni maoni yake tu. Hata mimi nawauliza hao Chadema, wao wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha bungeni na wananchi haohao wakamchagua rais JK, sasa wanapogomea hotuba yake ya ufunguzi wa bunge huku wakiendelea kudai wao ni wabunge ina maana gani? Basi ni bora wagomee na huo ubunge ili kwamba hata rais wasimtambue. Huwezi kuwa mbunge halafu ukategemea usiwe na rais, huo ni ukichaa na wehu wa kupindukia. Chadema acheni unafiki na kama hamtaki kumkubali JK kama rais basi achieni na ubunge pia ili tujue kuwa hamumtambui rais. Kama huyo Slaa ana uhakika kuwa alishinda mwambieni aweke hapa hesabu ya kura zake za urais kwa Tz nzima tuone. Acheni upuuzi na ujinga, huu ni muda wa kuongelea na kujadili mambo ya maendeleo aloo.
 
Jamani hayo ni maoni yake tu. Hata mimi nawauliza hao Chadema, wao wamechaguliwa na wananchi kuwawakilisha bungeni na wananchi haohao wakamchagua rais JK, sasa wanapogomea hotuba yake ya ufunguzi wa bunge huku wakiendelea kudai wao ni wabunge ina maana gani? Basi ni bora wagomee na huo ubunge ili kwamba hata rais wasimtambue. Huwezi kuwa mbunge halafu ukategemea usiwe na rais, huo ni ukichaa na wehu wa kupindukia. Chadema acheni unafiki na kama hamtaki kumkubali JK kama rais basi achieni na ubunge pia ili tujue kuwa hamumtambui rais. Kama huyo Slaa ana uhakika kuwa alishinda mwambieni aweke hapa hesabu ya kura zake za urais kwa Tz nzima tuone. Acheni upuuzi na ujinga, huu ni muda wa kuongelea na kujadili mambo ya maendeleo aloo.
Wewe ndio umeandika upupu zaidi ya mtoa mada. Wagomee huo ubunge kwani wamepewa na huyo wanayemgomea? Tumia kichwa kufikiri kabla ya kubwabwaja hapa.
 
halafu hakuna chama kina tabia mbaya "vices" kama CCM. mwalimu nyerere alionya na akapongeza watanzania kuwa na umoja nje ya nchi...lakini CCM ndiyo inahangaika mara matawi london, matawi urusi nk. dirty politics... hata udini ilikuwa agenda yao wapuuzi wakubwa. na ndo maana sababu ya upuuzi wenu nimeamua kukihama chama...siwezi kuwa teyari kuchanganya na kushadadia hoja zizizo kichwa wala mguu! na mi ni noma jukwaani......!!!!! cdm oyeeeee!!!!!
 
Huyu Maina Owino aliacha kesi moja ya aibu kwa wale waliokuwa UDSM kamwe haitamtoka na itamfuata popote atakapoenda...hivyo mtu hata ufanye au utoe maoni mazuri kiasi gani..kama kuna walakini uliufanya ambao ungestahili 30yrs jela nadhani husafishiki hata kwa omo
 
Tupe ushahidi wa hizo kashfa zake, isije kuwa ulimuonea wivu yeye kuwa kiongozi wa DARUSO na wewe ukakosa

Heheheheh!! Mimi nimesoma naye and without doubt this guy not only embezzeled public funds but also did inhuman act! Dadavua!
 
Back
Top Bottom