Elections 2010 Ni Mgombea yupi atapoteza maisha kabla ya Jumapili?

Unaweza kmjua mwenye sura ya kufa hapo ,yaani hebu angalia hizo picha za juu kabisa kwa ghafla ,basi macho yako yatakupeleka kwa mgombea ambae ana sura ya kufa ,mi kila nikitazama kwa gafla naona kuna mgombea ana sura ya kufa na face yake katika picha hiyo nikama ya kusituka au iliyofikwa na jambo.sisemi kama nina uhakika wa kufa mtu kwani siamini mambo ya akina shee Yaaya ,ila wakati mwingine unakuwa unajipima kama nawe unaweza kubashiri na hapo nimejaribu kuangalia hizo picha kwa gafla kuna jamaa namuona kama ni yeye.:thinking:
 
Sheikh ni msanii, anawazuga waTz ili aonekane yupo bize!
Hakunakitakachotokea, na tuendelee tu n shughuli yetu kuu ya 31/10!
 
Unaweza kmjua mwenye sura ya kufa hapo ,yaani hebu angalia hizo picha za juu kabisa kwa ghafla ,basi macho yako yatakupeleka kwa mgombea ambae ana sura ya kufa ,mi kila nikitazama kwa gafla naona kuna mgombea ana sura ya kufa na face yake katika picha hiyo nikama ya kusituka au iliyofikwa na jambo.sisemi kama nina uhakika wa kufa mtu kwani siamini mambo ya akina shee Yaaya ,ila wakati mwingine unakuwa unajipima kama nawe unaweza kubashiri na hapo nimejaribu kuangalia hizo picha kwa gafla kuna jamaa namuona kama ni yeye.:thinking:

Unamaanisha Lipumba?!
 
Biashara ya kuroga watu kwa kutumia majini na vibwengo ni kunadi biashara ya huyo mchawi wa mchana - Yahaya. Hafai kabisa na ashindwe kabisa!! Watanganyika hatuna wasi wasi maana huo ni uzushi wa mchana. Mbona yeye hajajitabiria afe. Alipougua alisema kunawatu wanasali ili afe! Muoga wa kufa yeye alafu analoga wengine. Kuna ulinzi wa damu ya Yesu Kristo Tanzania hii. Anaua watu anasingizia utabiri kutimia. shame on him.

Kweli hata mimi kwa hili nakuunga mkono. Hakuna ajuaye siku ya kufa mwenzie ila Mungu tu.
Huyu jamaa anadai anatabiri.. nahisi anawaua yeye huyu...

Mi sipendi kabisa uzushi na mambo yake huyu jamaa...
Ananikera mpaka basi @#&*%$@@@**#
 
Shetani na wajumbe wake hutumia hofu kunyanyasa watu, lakini uhodari na ushujaa ndio utakaompaka mafuta ya Uraisi, dr slaa. Yahya awe makini atamuuwa rafiki yake anayetangaza kumlinda kwa majini kwa sababu ndiye yeye mwenye hofu nyingi wakati huu.
 
Hivi kwa nini huyo YAHAYA anapewa nafasi ya kutawala habari za kila siku namna hii?

watanzania hebu tubadilike, waandishi ndio wanaompa chati....agggrrrr
 
Kama kampeni zitahitimishwa uwanja wa jangwani kama ilivyo desturi, utabiri wa shekhe yahaya utamuangukia mzoefu wa kuanguka, na safari hii akianguka ni moja kwamoja hainuki tena[/QU
ahahahaaaaahekeshaaaaaaaaaa, hii imenichekesha sana
 
Huyu mganga wa kienyeji shehe Yahaya, atakuwa anaujua mtandao wa kihalifu unaopanga njama za kudhulu wagombea wa urais. Huyu ni sawa na wachawi walio katika mtandao wa kuwaua albino. Kutabiri kifo cha mtu kisheria ni kosa, ni kupanga njama za kuua.
 
Huyu jamaa ajiitaye Sheikh hana lolote lile. Allah (SW) alishaharamisha hiyo kazi, na akasema amewalaani wale watizamiaji, wale wanaowaendea kwa ajili ya kutizamiwa na kisha wakayaamini yale wanayoelezwa na hao watazamiaji kama huyo Sheikh. This time Allah (SW) ameamua kumuumbua juu ya uongo wake. Hata kufa mtu, uchaguzi hautaahirishwa na atakayeshinda ni yule tu Aliyepangwa na Allah (SW) na si kwa njia ya Freemasons kuamua.
 
Unamaanisha Lipumba?!
Ni siri yako ,ila yupo na naamini kabisa umemwona lakini binadamu tunakuwa waoga lkusema ukweli yaani panakuwa pazito lakini kama wewe umemwona ni Lipumba sawa ,ila siamini kama umemwona ni yeye ,usingeliuliza kwa kuweka alama ya kuuliza ?
 
Back
Top Bottom