Elections 2010 Ccm na ushindi wa kishindo wa 80%

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,638
1,218
CCM kwisha kazi. CCM wako mahututi ICU.CCM wanapumulia Oksijeni. CCM jeuiri kwisha!!!

Ziko wapi tambo na majigambo ya CCM waliyokuwa wakibwabwaja kwenye majukwaa kuwa watashinda kwa kishindo tena kwa asilimia 80%. Walikataa hata matokeo yao wenyewe ya kupikwa na REDET-71% na Synovate-62%.

Ewe dude CCM kuko wapi kujidai kwako na kutukana wapinzani kuwa ni KOKOTO,PHOTOCOPY, na oh wanataka kwenda Ikulu kwa First Lady wa kuazima na upuuzi wote mliokuwa mnaropoka dhidi ya Slaa na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.

Baada ya kupiga kura na matokeo kuanza kutangazwa CCM mmejionea wenyewe nani alikuwa anazungumza ukweli kati ya CCM na UPINZANI.Hamuamini kile mnachokiona na badala yake mmeamua kuchelewesha matokeo ili mpate kubadilisha matokeo kwa faida yenu. Watanzania wameamua kuwa HAWADANGANYIKI!!!!!!!!!!!!!

Jeuri yote imekwisha.Tuambieni mtaendeshaje nchi wakti mnataka kuingia Ikulu kwa kura za kughushi,kura za kuiba,kura za kuchakachua.

Kiwete,Makamba na Kinana jitokezeni muuleze umma wa Watanzania imekuwaje?
Je,huu ushindi wa 80% mliokuwa mnasema ulikuwa ni wa kupanga kwa KURA ZA WIZI au????
 
Kwenye red, hiyo ni 'spelling mistake' au ni nickname mpya ya JK?!
 
Watajitaidi kabadili/kuchelewesha matokeo ya uraisi lakini haitasaidia! Watu wameonesha hisia zao kupitia balot paper. Kwa viongozi wanaojifunza na walioko kwa ajili ya kuwatumikia watu na sio wao kutumikiwa na watu ni wakati wa kutafakari matokea haya yana maana gani.

Tumeona jinsi tume ya uchanguzi NEC kama vile haina leadership jinsi inavyolazimisha kuchelewesha matokeo na hata kutangaza majimbo ambayo CCM imeshinda. Kwa hakika huu ni mwanzo tu kazi kubwa tunaitarajia huko bungeni huko hakutakuwa na nonsense za wingi wa wabunge wa CCM. After all mabadiliko/maendeleo huletwa na watu wachache wasio na mawazo mgando.
 
Jukwaa HILI si pahali pa kutukana watu kama ukubaliani na hoja basi ipinge kwa hoja pia. Hapa watu wenye uwezo wa kujadili issues ndio wanakaribishwa si pa kushikiwa akili.
 
Ama kwa hakika inasikitisha kuona watu wengine wakitumia matusi hapa.. Namshauri maimai arudi shule kwanza akajifunze kuandika proper spelling.
 
Jamani Kazi Bado sana, CHADEMA isibweteke kwa ushindi huu iliopata mpaka sasa ikajisahau na kuacha kura za uraisi kuchakachuliwa. Tuendelee kukaza Buti mpaka Kieleweke katika majimbo yaliyobakia na katika Uraisi. Kwa jinsi hali ilivyo Itakua miujiza maajabu na mazingaombwe kwa JK Kushinda.

Tatizo CCM walishindwa kusoma alama za nyakati. Watavuna walichopanda. Kama walipanda Ufisadi wacha wavune wanachostahili....Tehe Tehe tehe...

VIVA CHADEMA
 
October, acha kutupotosha. Chadema wana majimbo mangapi kuifanya ishinde uchaguzi huu. Nadhani haupo kabisa hapa TZ na hujui kinachopendelea.
 
hatuna imani na hata ccm waliyoshinda may be wanchi walikuwa lazy/hawakuelewa so wakachakachuliwa kirahisi, acha yale ya waliopita bila kupingwa. km mimi muongo toa ushahidi hawakuiba kura hao walioshinda! sasa itafuata mizengwe ya ccm kupeleka mahakamani wabunge wa upinzani kujaribu kuleta msukosuko
 
ccm wamechelewesha matokeo na sasa wapo wanayapika jikoni! Mmepanga matokeo na kusingizia technology kuwa ndochanzo, shame on you ccm
 
Wao walitapa watashinda kwa ushindi wa kimbunga, lakini kimbunga kimewakumba wao. Leo hata kajarida kao kalikokuwa kanawafagilia na kuwalamba miguu kuwa watashinda kwa kimbuga, leo kameibuka na kichwa cha habari cha "Kimbunga Chaikumba ccm!" too late!
 
Hee hivi huyu chizi katoka wapi tena???

Au macho yake yanaona "upside down" niniiii?????

Kwani hadi sasa ni chama gani kinaongoza viti vya ubunge??? Jamani msaidieni mwenzenu huyu inaelekea haoni vizuri au tv yake inanasa somalia.

mpaka sasa kati viti vya ubunge vilivyowasilisha matokeo yake ni 77 ambapo CCM inaongoza kwa viti 49, wewe uko wapi??

Angalia usije kushangilia goli la kujifunga mwenyeweeee

Kalagabaho
 
CCM kwisha kazi. CCM wako mahututi ICU.CCM wanapumulia Oksijeni. CCM jeuiri kwisha!!!

Ziko wapi tambo na majigambo ya CCM waliyokuwa wakibwabwaja kwenye majukwaa kuwa watashinda kwa kishindo tena kwa asilimia 80%. Walikataa hata matokeo yao wenyewe ya kupikwa na REDET-71% na Synovate-62%.

Ewe dude CCM kuko wapi kujidai kwako na kutukana wapinzani kuwa ni KOKOTO,PHOTOCOPY, na oh wanataka kwenda Ikulu kwa First Lady wa kuazima na upuuzi wote mliokuwa mnaropoka dhidi ya Slaa na wagombea wengine wa vyama vya upinzani.

Baada ya kupiga kura na matokeo kuanza kutangazwa CCM mmejionea wenyewe nani alikuwa anazungumza ukweli kati ya CCM na UPINZANI.Hamuamini kile mnachokiona na badala yake mmeamua kuchelewesha matokeo ili mpate kubadilisha matokeo kwa faida yenu. Watanzania wameamua kuwa HAWADANGANYIKI!!!!!!!!!!!!!

Jeuri yote imekwisha.Tuambieni mtaendeshaje nchi wakti mnataka kuingia Ikulu kwa kura za kughushi,kura za kuiba,kura za kuchakachua.

Kiwete,Makamba na Kinana jitokezeni muuleze umma wa Watanzania imekuwaje?
Je,huu ushindi wa 80% mliokuwa mnasema ulikuwa ni wa kupanga kwa KURA ZA WIZI au????

CCM machoko tu!!

Kwanza kura za urais vipi?
 
Makoye2009 - kampeni zimekwisha, kura tumepiga, matokeo yanaanza kutoka giza na mwanga vinatengemaa

"wao wana hela, sisi tuna Mungu" (Godbless Lema, MB)
 
Wapendwa nimetoka bkoba mjini sasa nimeingia jimbo la karagwe,chadema hapa ni noma matokeo wamegoma kutangaza,rc,rpc,rso wote wamelala hapa but wanachi wanaimba eti hawadanganyiki.matokeo kamil saa tisa nitawapa.
 
Hee hivi huyu chizi katoka wapi tena???

Au macho yake yanaona "upside down" niniiii?????

Kwani hadi sasa ni chama gani kinaongoza viti vya ubunge??? Jamani msaidieni mwenzenu huyu inaelekea haoni vizuri au tv yake inanasa somalia.

mpaka sasa kati viti vya ubunge vilivyowasilisha matokeo yake ni 77 ambapo CCM inaongoza kwa viti 49, wewe uko wapi??

Angalia usije kushangilia goli la kujifunga mwenyeweeee

Kalagabaho

Mkubwa, hujui hesabu au umeamua kuelewa unachotaka kukielewa wewe mwenyewe??
Au tuseme hesabu zako zinakuambia hivyo viti walivyopata ccm vinaleta uwiano wa 80%??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom