Habari zenu wanajamvi,,,nimeguswa na kufarijika na ugunduzi na uthibisho wa mmea aina ya MVUNGE kuwa dawa ya kurefusha na kunenepesha uume,huu ni wokovu kwa ulimwengu wa "free market",naomba mwana MMU yeyote anaejua jinsi ya kutumia huu mmea kwa namna yoyote ile afunguke kwa manufaa ya wanajamvi...