Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
maumivu ya kichwa huanza taratiiibu!!
Tatizo yakizidi hakuna daktari wa kumuona!
maumivu ya kichwa huanza taratiiibu!!
Kumbe huyu mzee naye ni mpuuzi kiasi hiki!!!. Ana maana kwa kuwa mkoa wa Pwani umetoa marais wawili nchi hii (yaani Ali H. Mwinyi - Mkuranga; na Jakaya Mrisho Kikwete - Bagamoyo) basi ukanda huu hawana haki ya kuwa na rais mpaka kanda nyingine zote zipate marais mara wawili wawili?
Mmmmmmh! Hizi kauli ni za hatari sana! Hivi urais siku hizi unatolewa kikanda? Ni kwa Katiba ipi Rais anachaguliwa Kikanda?
Mtaje, nani kutoka kusini...? au baba yako????
Nazani sasa ni zamu ya Kigoma atuna balabala za lami asipotoka uko tunajitenga kuwa inchi.
nimekata tamaa na hii nchi badala ya kuangalia sifa za mgombea mnaangalia anatoka wapi, kesho mtataka kabila yenu na dini yenu, kwani ndio sifa mnazozijua, kiongozi wa chama anasema haya na bado anaendelea kuwa kiongozi? Nahisi harufu ya uongozi na demokrasia ipo mbali sana kama watu bado wanamawazo hayaNazani sasa ni zamu ya Kigoma atuna balabala za lami asipotoka uko tunajitenga kuwa inchi.
Alisema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo za CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam...
Mukama alisema: Kuwa na makundi ni kitu cha kawaida lakini si la mtu fulani, bali ni katika chama ili vitu viende na ni jambo jema katika chama. Kwa mfano, mambo ya urais kikanda Kusini wameshapata, sasa inaweza ikawa Nyanda za Juu Kusini au Kanda ya Kati na upande wa Kaskazini vilevile, juu kule Mwalimu Nyerere alishatoka.
Alisema hali kama hiyo ndiyo inatengeneza makundi kwa watu wa sehemu fulani kusema: Mbona kule ameshatoka huku bado hajatoka. Hayo ndiyo mambo yalivyo na si mtu mmoja mmoja kuwa na kundi, hayo yanayosemwa huko siyajui.
Kumekuwa na mikakati ya kuhakikisha kuwa watu wa kaskazini wanamweka mtu wao ikulu kwa bahati mbaya mkakati huu hauko ccm tu bali hata chadema.mh nassari mbunge mpya toka kaskazini alipata kusema kaskazini ijitenge lakini huo haukuwa mwanzo wakati wa vuguvugu la kudai uhuru wameru kupitia kwa japhet kirilo walipata kudai uhuru wa wameru.mzee mareale alikwenda uno kudai kitu kama hicho,kwa kifupi watu wa kaskazini ni watu wenye KUJIPENDELEA ZAIDI.
Ugonjwa wa kujipendelea zaidi ndo uliosababisha cain mtoto wa adam kumuua ndugu yake.ndio uliosababisha mradi wa MECCO mwanza ukahamishiwa MOSHI. Ndio uliosababisha kulazimisha makao makuu ya E. Africa yawe Arusha na sio Mwanza kama wajumbe wengi wa e.africa walivyoomba.lakini pia kasakazini ndiko wanakotoka mafisadi wengi mf.yona,mramba,lowasa,kn hawasemwi sana kama chenge na rostam.
Na sasa rangi halisi imejionyesha chadema, alitwambia kamanda Wangwe hatukumsikia sasa tunaona viongozi akina mbowe na slaa wanavyoendesha chadema kama kampuni yao binafsi huku wakiwa wamepanga slaa awe mgombea wa urais na ASITOKEE MWINGINE KUOTESHWA URAIS KUPITIA CHADEMA ZAIDI YA SLAA.
NA HAPO NDIPO ZITTO ALIPOKESEA Kuutamani urais kupitia chadema nafasi ambayo ina mwenyewe!mkaskazini!ambae record yake imejaa ufisadi kuanzia ccbrt mpaka chadema.mpaka kwenye maadili mpaka leo mzee mzima anatelekeza familia kwa ajili ya mrembo kabla ya hapo alitelekeza upadri kwa ajili hiohio.sasa zitto lazima achafuliwe kwa lolote lile.la kweli na lisilo la kweli kama tulivyoona juzi.
LAKINI NIWAAMBIE NDUGU WAKASKAZINI. NAUNGANA NA WABAGAMOYO RAIS HAWEZI KUTOKA KASKAZINI.TULIKUWA TUMELALA WANGWE AKATUAMSHA HATUKUAMKA SASA SUALA LA ZITTO LIMETUAMSHA.SASA TANZANIA IMEAMKA DHIDI YA WAKASKAZINI.NYUMA YA ZITTO ZUBERI KABWE!