Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

Dozi kamili ya "MVUNGE" plzzzz!!

babu hutaki niuzike mjukuu wako nikuletee kitukuu

Kwa kutumia sausage tree hapana mjukuu wangu...

Twende zetu kwenye lile dili la usupa staa...hilo litatuoa fasta fasta...!!

Babu DC!!
 
Hapa unawambia nini wadogo zako Smile??

It's good to test a guy first before you believe him. But don't let him wait that long
 
Last edited by a moderator:
Wabongo kwa kuchangamkia udaku, usishangae hii miti inavamiwa na kutoweka katika uso wa dunia...

Laana yote ataibeba mhariri wa Mwananchi kwa kueneza udaki katika idara nyeti...

Babu DC!!

Kwakuwa watu wengi wenye akili timamu ndo wanalisomaga gazeti la Mwananchi,
hii ilimfanya huyu jamaa kuamini kwa haraka.
 
Kwakuwa watu wengi wenye akili timamu ndo wanalisomaga gazeti la Mwananchi,
hii ilimfanya huyu jamaa kuamini kwa haraka.

Ndiyo maana nimesikitika sana.....

Yaani mhariri aliona kwenye ile ni habari ya kuweka kwenye gazeti lake??

Ilinikera sana kwana najua kuna watu wengi watauvaa mkenge....

Babu DC!!
 
teh babu hutaki mjumuu wako niuzike jamani mjini hapa vimbaombao hatuna soko

Labda mie ndiyo nimeezeka vibaya,

Hivi kuna mtu hana soko endapo ametafuta the right customer??

Halafu naomba sana uache huu utani Smile....nahisi kuzima PC vile!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Doctrine of Signature hiyo, very ancient!
 
Chukua Topaz, chanja dushe lako kwenye kichwa mara tatu halafu chukua damu itakayotoka. Ukishamaliza, chanja tunda la Mvunge (likiwa mtini) halafu utomvu wake uchanganye na ile damu.

Lile tunda litakapokuwa linakuwa na dushe lako ndivyo litakavyozidi kukua. Ukiona dushe limefika kiwango unachokitaka unaenda kulichuma lile tunda halafu unaenda kulivunja kwenye njia panda inayotumiwa na watu wengi kuliko zote hapo maeneo unapoishi.

Huu Mvunge umekuwa ukitumika kwa shughuli hii kwa miaka mingi sana kule kijijini kwetu.

Ahsanteni!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Thanks mkuu somehow nimekupata, but baada ya kuchukua damu nachanganya na utomvu kwa kupaka damu pale pale nilipochanja tunda AU ninakinga utomvu kutoka kwenye mti then ndo nachanganya na damu?naomba maelezo kidgo hapo na ninatanguliza shukrani mkuu!!
 
Inashauriwa kujipaka utomvu kwenye dushe (pale ulipojichanja) na uchukue damu uchanganye na kwenye utomvu wa ulipochanja tunda ili iwe kama alama na hata mtu mwingine akija atajua tunda limeshatumika.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nasikia eti ni unalikalia tu likishapotelea huko unakuwa ushapona, ---- hii haa.
 
Chukua Topaz, chanja dushe lako kwenye kichwa mara tatu halafu chukua damu itakayotoka. Ukishamaliza, chanja tunda la Mvunge (likiwa mtini) halafu utomvu wake uchanganye na ile damu.

Lile tunda litakapokuwa linakuwa na dushe lako ndivyo litakavyozidi kukua. Ukiona dushe limefika kiwango unachokitaka unaenda kulichuma lile tunda halafu unaenda kulivunja kwenye njia panda inayotumiwa na watu wengi kuliko zote hapo maeneo unapoishi.

Huu Mvunge umekuwa ukitumika kwa shughuli hii kwa miaka mingi sana kule kijijini kwetu.

Ahsanteni!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

uchawi wingine huu
 
Back
Top Bottom