Malalamiko mareefu hayana paragraph inachosha kusoma. halafuu mambo ya ofisini kwako kuyaleta Jamiiforums na kulalamika ni majungu tu yasio na maana.
Wewe ni staff wa KCMC unaonesha kukosa weledi. Tafuta wakubwa zako wa kazi huko kazini kwako wasilisha malalamiko yako au mfuate MOI, or RMO...
Mamlaka ya kudhibiti madalali ianzishwe haraka sana kudhibiti hizi bei za kitapeli, wote sisi tunajua kuwa nyumba hiyo haizidi hata milioni 120 kiwanja,kujenga mpaka finishing, acheni kuropoka bei za kitapeli. milioni 390 napata ghorofa kibada au hata huko geza
Hauko peke yako, nmefanya interview 2 za BOT last weekend nilikua Mbeya na zote zimesoma "Not selected for oral interview" kudadek hapa niko nalewa siku ya 7 ya wiki nipo Bar na lewa nikiwa na andika hii comment.
Hongereni kwa kuzamia nchi za watu iwe kihalali au isivyo kihalali, mnaenda huko mnaishia kuwa watumwa, mnakua desperate na maisha, mnatunza makaratasi ya kuishi huko na kuyathamini, badala ya kutunza fedha urudi nyumbani kwenu kuendeleza.
Dunia ya sasa iilishsbadilika sana na hata kibiashara...
Nipo mbeya saiz napita kwnye barabara mbovu hamna hata dalili ya mkandarasi kuwepo. Au ilikua ni michongo ya kampeni za oktoba tunatiki. Baada ya hapo mkandarasi kafungasha vilago?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.