House4Sale Nyumba inauzwa, Gezaulole

House4Sale Nyumba inauzwa, Gezaulole

Bamba Beach ni mbali na main road, infrastructure ya barabara kuelekea hapo ipoje wakati wa mvua?
 
Hatari. Hiyo nyumba bei yake kwa ujenzi wa mafundi wa kawaida ni 130. Kiwanja tuseme 30. Jumla 160.

Bei ya kuuza ikiwa 200/ 220 bado ni unyama
Nmechunguza nimegundua kuwa viwanja na nyumba bei huwaga juu sana sabab ya madalali. Wanaweka extra 50% au zaidi ya bei ya muhusika hasa majumba ya kuanzia milion 100
 
NYUMBA MPYA INAUZWA

IPO GEZAULOLE (BAMBA BEACH) DAR ES SALAAM🇹🇿

INA JUMLA YA VYUMBA VINNE YA KULALA,SEBULE,JIKO,STOO

BEI TSH 390M
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

#luxuryapartments #houseforrent #viral #houseforsale #plotforsale
Mamlaka ya kudhibiti madalali ianzishwe haraka sana kudhibiti hizi bei za kitapeli, wote sisi tunajua kuwa nyumba hiyo haizidi hata milioni 120 kiwanja,kujenga mpaka finishing, acheni kuropoka bei za kitapeli. milioni 390 napata ghorofa kibada au hata huko geza
 
Hakuna nyumba ya 390 hapo.
Huko goba na madale Sasa utasikia nyumba 650m. Na utakuta zinanunuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom