Eti Mapenzi yanauma? Hivi mnajuaa maumivu ya NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW AJIRA PORTAL nyie?

Orhan bey

Member
Joined
Oct 20, 2024
Posts
86
Reaction score
120
Kiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea SONGEA hadi Dodoma.

Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee ila namshukuru Mungu hatimaye nilikuja kupata kazi kupitia ajira portal lakini yale maumivu sitokuja kuyasahau
 
Niliwahi kusumbuliwa na maumivu ya jino nikajidanganya jino linamaumivu makali kuliko macho, siku niliposumbuliwa na macho nikasema afadhali ya jino.

Yote Tisa, kumi ni niliposumbuliwa na maumivu ya sikio.....aseeee sikio linauma acheni baaana!!. Unaskilizia maumivu ya sikio hadi unapoteza muelekeo na balance ya mwili.

Binadamu tumeumbiwa kusahau
 
Niliwahi kusumbuliwa na maumivu ya jino nikajudanganya jino linamaumivu makali kuliko macho, siku niliposumbuliwa na macho nikasema afadhali ya jino.

Yote Tisa, kumi ni niliposumbuliwa na maumivu ya sikio.....aseeee sikio linauma acheni baaana!!. Unaskilizia maumivu ya sikio hadi unapoteza muelekeo na balance ya mwili.

Binadamu tumeumbiwa kusahau

Pole sana mkuu
Kwa sasa yote yalipona?
 
Hauko peke yako, nmefanya interview 2 za BOT last weekend nilikua Mbeya na zote zimesoma "Not selected for oral interview" kudadek hapa niko nalewa siku ya 7 ya wiki nipo Bar na lewa nikiwa na andika hii comment.
 
Kiukwelii tangia nizaliwee sijawahii kuhisi maumivu kama siku ambayo nilifanya interview mbili kwa siku moja pale Dodoma kipindi hicho mambo ya kufanyia online hayajaanza usiku saa mbili nipo zangu lodge nakutana na NOT SELECTED zote moja nimepata 49 na wamechukua hadi 50 na hapo nimetokea SONGEA hadi Dodoma.

Maumivu niliyoyasikiaa sijawahii kuyasikia tangia nizaliwee ila namshukuru Mungu hatimaye nilikuja kupata kazi kupitia ajira portal lakini yale maumivu sitokuja kuyasahau
Hakika, vijana mnateseka sana.
 
What I believe in this life , Everything is blessing.

Mimi Huwa na-focus on the lesson and not the pain.

Maana expectations ndo huleta HAYO maumivu.
 
Back
Top Bottom