Recent content by BWATOBUNU

  1. B

    Nisaedieni sms za ccm zinanikera.....zain ni wadau wa ccm?

    Mona sisi hatukelwi na sms za chadema tena mbaya zaidi zimeingia mpaka kwenye dini. Mtu mzima unadiriki kubadili sala na kuweka mambo ya kishenzi mtenda akitendewa!!!!!!!!!:doh:
  2. B

    Toa maelezo kuhusu picha hizi!!!!!!!!!!!

    hizo pumba zenu mtu mzima anajiamini huyo na ndo maana obama akamwita ili waongee mustakbali wa nchi yetu na watu wake wasiokuwa na uwelewa wa kuchambua mambo
  3. B

    CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

    ni kama mimi na kombati za chadema sizipendi ata kidogo utafikili wanamgambo wanaenda vitani. ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  4. B

    GE2010 Umati wa Songea ni tishio kwa Slaa

    Kubali msikubali kikwete yuko juu na anasela sio kama slaa akisimama jukwaani yeye n kuongelea majina ya watu na matusi na kshfa tunahitaji sera na si hayo.kikwete kafanya mengi japo mnamacho hamuoni huwzi kulinganisha miaka ya nyuma na sasa
  5. B

    Halima Mdee: Bold and Beautiful!

    anafaa sana kuwa mke wa slaa kwakuwa hana mke angemuoa huyo ta kuliko kuvamia wake za watu:tonguez:
  6. B

    Hatudanganyiki kwa sera za mipasho

    kila siku mnazungumza mafisadi hamna kitu kingine? mbona kila mtu ni fisadi kwa nafasi yake! tena katika mafisadi chadema ni namba moja wanawadanganya wanachama wake kuwa chama ni masikini na hali wao viongozi wakubwa wanatembea kwa magari ya kifahali na helkopta vijijini ata usafili wa gari kwa...
  7. B

    Pupa ya kutaka kushika madaraka, itaiangusha CHADEMA tena

    tatizo mashabiki wachedema wote ni wagonjwa wa akili hamuwezi kushindana kwa hoja mpaka mtoe matusi. Wachanga wa siasa hamna jipya jifunzeni kujibu kwa nguvu za hoja na sio kutumia hoja za nguvu
  8. B

    Vyakula vya kichina!

    ndio vyakula vyao yani ni kama kabila flani wanavyokula chamaki nchanga na konokono full shangwe:becky:
  9. B

    JK kwa raha zake

    Muache atese ni wakati wake:a s 100:
  10. B

    Unapokuwa na Mpenzi wako mpya!

    inategemea wameachana kivipi kama hakukuwa na mgogoro mkubwa wanaweza kurudiana
  11. B

    Nini kinachowavutia wanawake wawaonapo wanaume?

    Pesa kwanza mengine yafuata
  12. B

    Kiti Kinauzwa!

    KIAPATIKANA WAPI MIMI NAKIHITAJI:smile-big:
  13. B

    Ibada ya "maombEzi "

    KAZI KWELIKWELI MHHHHHHH:playball:
  14. B

    Nahitaji mwanaume ambae mke ni vuvuzuela

    POLE SANA NDUGU UMRI MUMEKWENDA MWENZIO HUJAMPATA VUMILIA MUNGU ATAKUSAIDIA:eyeroll2:
  15. B

    Huu ni mfano wa ccm kwa wananchi

    SJAKUELEWA MKUU:confused2:
Back
Top Bottom