IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Mwenzenu Bado Nakerwa na SMS za CCM ZISIZO NA 'Sender' Number. Nimejaribu Kuwapigia Zain wakasema ati Ni Mimi Mwenyewe nimejiunga.....Upuuzi Mtupu
Wakati hata siku moja sijawahi Kujiunga..
Cha ajabu nilishawahi kutuma sms ya 'HAPANA' kwenda 15016 kama Mwana JF mmoja alivyoshauri lakini Bado tu Nikiamka asubuhi lazima nikute sms ya CCM
Nisaidieni maana naweza kuivunja simu kwa Hasira