Toa maelezo kuhusu picha hizi!!!!!!!!!!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
obama-kikwete3.jpg

s
 
JK : Tumeongeza shule za Msingi kutoka 1000 mwaka 2005 hadi5000 mwaka 2010.
OBAMA: Wacha bana!
 
Picha ya 1: BO: hivi kwanini tatizo la mimba limezidi sana mashuleni tatizo ni nini hasa??
JK: Eeeh..aam...mmmh! nadhani ni viherehere vyao...

Picha ya 2.:BO: Anawaza hivi huyu jamaa anajua nini anacho kiongea au.... halafu anampachika swali jingine! kwanini nchi yako inaongozwa
kwa umaskini wakani nma rasilimali zote?
JK: na tabasamu kubwa anajibu!e.. wel... u know hata mimi binafsi sielewi nimekaa nikawazaaa weee but u
know aamm... mmh sijui kwanini imekuwa inaongoza kwa umaskini sijui kwa kweli teh teh
 
hahahaha hahahaha
mie sikometi kabisaaa maana mmemaliza maneno yangu
 

"My sons are all adults and they've made decisions about their careers and they've chosen not to serve in the military and active duty and I respect their decision in that regard. One of the ways my sons are showing support for our nation is helping me get elected because they think I'd be a great president."
 
JK: Eeeh! kule Tanzania tunahakikisha tunapambana na mafisadi na wala rushwa kwa nguvu zetu zote..Kwa kweli mambo si mabaya sana.....

Obama: Mh! Hivi haka kajamaa mbona kaongo hivi....Hivi hana habari najua mambo yote, mafisadi wanaendelea kudunda tena mwingine anafanya kampeni ili aendelee kuwa kule mjengoni kwao??? Kananiboa sana....sijui kwa nini nimekaita hapa!!!
 
BO: vipi unawake wangapi sheikh wangu???
JK: Ofcourse, rijali lazima kila mkoa uache photo copy dogo!!
 
Kwa nini JK anaongea kwa kusoma, hajiamini mpaka anaenda na desa

Kwi kwi kwi.
Umesahau takwimu anazotusomea jukwaani? Zote ziko pale, shule, vyumba vya madarasa, idadi ya vyandarua alivyogawa, zahanati tulizojenga n.k., the list is endless.
 
Hapo nadhani Obama alikuwa anamshangaa JK akidesa speech ya kuomba mkopo :):dance:
 
Obama: Hivi kwa nini Tanzania ni maskini hadi leo pamoja na utajiriwa rasilimali zote?
JK: Ndo nashangaa!!! me mwenyeww sijui.
Obama (Kicheko kinataka kutka ila anjitahidi kuzuia)
 
Unajua mimi nimekuwa raisi wa kwanza afrika kuja kukuona,Nakupa zawadi ya Uranium ya Namtumbo kama shukraniyangu
 
hizo pumba zenu mtu mzima anajiamini huyo na ndo maana obama akamwita ili waongee mustakbali wa nchi yetu na watu wake wasiokuwa na uwelewa wa kuchambua mambo
 

Yaani utafikiri Mwanafunzi na Profesa wake. Yaani hapo zimebaki siku mbili a-defend thesis yake halafu profesa anamwambia mbona hukufanya chochote? mwanafunzi sasa yupo na desa lake kujaribu kum-convince prof. kuwa amefanya research. ooh, poor Jakaya, naona Obama alikuwa anaombea dk ziende fasta manake hiyo speech ya mkulu ilikuwa ina-pollute tu kichwa chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom