Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 321
ah ah ah tuma tu CV utakutana na wagombea wenza wa kumwaga
NITUME CV YANGU?:becky:
NITUME CV YANGU?:becky:
Pearl, vipi kama sifa zote hizo hana isipokuwa ni mcha mungu wa ukweli!je,bado ana nafasi kwako?
hakuna alie mkamilifu hata mmoja mengine tutaelekezana taratiibu lkn awe tayari kukubali kukosolewa,kujifunza,kukosoa na kunifundisha pia
hakuna alie mkamilifu hata mmoja mengine tutaelekezana taratiibu lkn awe tayari kukubali kukosolewa,kujifunza,kukosoa na kunifundisha pia
Kwa kweli unanishawishi niweze kutafuta wadhamini within 10 ili niweze kupita vizuri katika kura za maoni
Maneno mazuri kabisa haya Pearl, kila mtu ana uchafu na usafi wake, ni suala la kusemezana lakini isiwe kwa msaada wa watu wa Marekani ila kwa msaada wa akili zetu na uweza wa Mungu pekeehakuna alie mkamilifu hata mmoja mengine tutaelekezana taratiibu lkn awe tayari kukubali kukosolewa,kujifunza,kukosoa na kunifundisha pia
physical strength, muscles - being muscular provides a sense of excitement and security in women. It also alludes to dominance which will seduce most women.this is what i can prove now.
Una uhakika wa kufanya mambo kwa muda mrefu siyo dakika 5 chali.
mm napenda mwanaume mtanashati,mkarim,mwenye maoenzi ya dhati,mrefu,mwili saiz ya kati,maji ya kunde,zaidi ya yoooote mcha Mungu.
Physical strength, muscles - Being muscular provides a sense of excitement and security in women. It also alludes to dominance which will seduce most women.This is what i can prove now.
Una uhakika wa kufanya mambo kwa muda mrefu siyo dakika 5 chali.
Wanaume wengi hawako makini katika kuchunguza sura au maumbile ya wakina dada, hii ni kutokana na ukweli kuwa wanaume wengi husukumwa kufanya juhudi za kumpata msichana/mwanamke ili kufanya tendo la ndoa (sura na maumbile ni vitu tu vinavyozidisha msukomo huo tu si vinginevyo). ndio maana kwa wanaume waliowengi mara baada ya kufanya tendo la ndoa hana muda wa kupoteza analala mbele. Mwanaume akishamaliza shida yake hawezi kuzungumzia lolote lihusulo mahusiano. Kwa wasichana wengi ambao wameingizwa gesti au geto watakubaliana na mimi kuwa mara tu mzee akimaliza shida yake anaoga anavaa nguo then ananyanyua, hakuna muda tena wa kuzungumza lolote, na utafiti mdogo ambao ninao ni kuwa asilimia kubwa ya wanaume wakishamaliza haja zao kwa wanawake hulala usingizi au huondoka zao, mambo ya kusema nakupenda, umeumbika hayana nafasi tena.!!!!!:crutch:
Physical strength, muscles - Being muscular provides a sense of excitement and security in women. It also alludes to dominance which will seduce most women.This is what i can prove now.
Una uhakika wa kufanya mambo kwa muda mrefu siyo dakika 5 chali.
Hivi si ulisema huna wala hutafuti???:confused2: Wacha na mi nijaribu bahati yangu....:A S 8:ah ah ah tuma tu CV utakutana na wagombea wenza wa kumwaga