Kilicho haram kwako usikiharamishe na kwa wengine, kila mtu ana tafsiri yake kuhusu maisha! Hapa duniani tunapita, hatuhamii na kila mtu anambwembwe zake za jinsi ya kusafiri! Kuna asiyetaka hata demu, kuna wa demu 1 na wengine 2, 3, 4,.. wote wapo sahihi alimradi wako happy!