Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Inabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.

Inabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.

Inaonekana hawezikwani huwezi kutoa hela na mapenzi kwa wakati mmoja?
Inaonekana hamtumii... WanatumianaKama unamtumia , matunzo yanakuhusu mkuu
Kwa hio thread inakusema wewe.... Pole mwaya.Inabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.
Subutu.... Usiku utakuwa mrefu.Pole aisee.
Jamaa Kaja kukusema Huku!!!
Mpige chini dakitare
Ha ha ha ha ha ha haFanya mambo haya
Mpe pesa
Mpe pesa
Mpe pesa
Mpe pesa
Endelea tu kumpatia pesa
Ha ha ha ha ha ha ha

kwani huwezi kutoa hela na mapenzi kwa wakati mmoja?
Si madogo mkuukuna mambo sana humu ndani
Inabidi nipite JF kila siku, kuna thread zinakuja hapa unajiona ni wewe kabisa halafu eti wanaume sio wambea.
Si yeye alisema anataka mapenzi na hayupo pale kwa sababu ya pesa.apewe pesa ya nini? Au alikuwa anatikisa kibiriti??kwani huwezi kutoa hela na mapenzi kwa wakati mmoja?
Huyu anataka tumjue kama yeye anamiliki gariPost zingine bwana khaa, unataka tukusaidie nn?