Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Salam wana jukwaa,
Natumaini mpo wazima wa afya.
Naomba kueleweshwa nimekuwa na mahusiano na na mtu ambae amekeketwa yani sifurahii chochote tunapogegedana ila mambo mengine yupo vizuri anatabia nzuri na ana kila sifa lakini shida ipo hapo tuu yani imebidi niwe na mwanamke mwingine coz of that! Hakuna utelezi kukavu kabisa.
Naomba mtu mwenye uzoefu na hii kitu natakiwa nifanyeje? Na kumuacha siwezi kwa sababu anapendwa na mama yangu na tumezaa mtoto mmoja.
Please help me kama kuna yoyote anajua nifanye kitu gani?