Recent content by bwananyama

  1. B

    JamiiForums Tanzania Salute kwa Wana-JF NBC Imeomba na Radhi na Inataka Kikao!!

    Hii benki jamani! We acha tu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania PRESS RELEASE: Prof. Alexander Songorwa hajawahi kufukuzwa kazi ama kuadhibiwa

    Dah! Ndo Maana Sisi Tunayumba huku kwenye mapori ya akibaa!! loh!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

    Teh teh teh
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege ziliwekewa 'cha juu' mara 16 serikalini!

    Jamani..!!! Polisi, pccb tunawategemea, lindeni mali za nchi si tu kwa vibaka wa kariakoo na wezi wa mitaani. Huu ni wizi mbaya unao rudisha nyuma maendeleo ya nchi. Cag report ni ushahidi wa kuwashtaki wenye dhamani ktk taasisi tajwa. Msiogope! Woga ni dhambi.
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pepoo! pepoo! tokaaa!

    haswaa kaka umenena!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanakigoma kutoa tamko kuwa wana vyama 3 tu vya siasa

    bora umesema wewe. Hivi vyama vya kuibukaibuka kama uyoga bora tuchukue kad zao tupate karatas za kuwash1a moto
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wanakigoma kutoa tamko kuwa wana vyama 3 tu vya siasa

    tatizo vyama vingine vinaibuliwa kama uyoga. Vinasababisha tuanze mwanzo. Huu ujinga, mbona vipo zaidi ya cdm na ccm. Iweje vianzishwe vingine, kama si vyama vya husda mbaya?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    doctor slaa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wassira amjibu Lazaro Nyalandu!

    Kaka umenena, majangili wanapeta kwa mwendo wa kasi, Jana tu Tembo mmoja akiwa na mtoto wake wamepigwa risasi nne nne, na kufa hapohapo. Ni katika eneo fulani la hifadhi ya Selous. Nyalandu yupo sahihi kwani ripoti ya lembeli ililenga kuteka hisia za wengi na kushinda, lakini yeye anajaribu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni vipi mtanzania mzalendo anaweza kuitumikia jamii bila kuwa mwanasiasa?

    tuwianishe posho, mishahara na mifumo mingine ya kiutumish wa umma ili isiwe na "gap" kubwa kati ya viongoz na wale wa ngaz za juu. Wabunge Wapunguziwe Posho
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hata kama hujui kusoma lazima utakuwa unajua kuangalia picha, hii picha itawaumiza sana akina Mbowe.

    Wapendanao (mbowe&zito) Wakigombana Chukua Jembe Kalime. ' Wakipatana Utabaki Na Aibu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

    Hukumu ya "dizaini" hii inanikumbusha sinema ya kihindi iliyochezwa na Amita Bhachan,ni Ile Itwayo "hamza kanuni" . Peaple's Power will win this kind of bend down law.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wana Azania tukutane hapa

    Azapound-the big nation enz za kwayu, mchwa, lyoba, shija, tokyo n.k = mi dv 1 ya kumwagilila mpaka kuzasa 1995>1998, na 1999>2001. ILA MADOGO WA SASA WANAAIBISHA CHAMA. SHAFII DAUDA (CLOUZ) EBU WAAMBIE MADOGO
  14. B

    JamiiForums Tanzania Malipo ya ndege za coastal zituapo hifadhi selous

    Kabla ya mwaka 2009, pori la selous kanda ya utalii ya Matambwe, Ilikua ikikusanya zaidi ya 10mil kwa mwez kutoka kampuni ya ndege ya caastal, ikiwa kama landing fee.Fedha hizo zilikua zikitozwa pale pale pindi ndege zilipotoa. Lkn baada ya mwaka huo, utaratibu wa...
Back
Top Bottom