bwananyama
Member
- Dec 31, 2013
- 21
- 6
mfungulie uone jins mumewe atakavyo kutatua marinda!ni waz we unahusika kwenye huo ugomvi wao,kwa nn akimbilie kwako!
haswaa kaka umenena!
mfungulie uone jins mumewe atakavyo kutatua marinda!ni waz we unahusika kwenye huo ugomvi wao,kwa nn akimbilie kwako!
yupo hivi au kapigwa pasi??
tuanzie hapo
yupo hivi au kapigwa pasi??
tuanzie hapo
ahahaaaa ulifikiri ni nini ndugu SAYANSIKIMU