Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Uwezo wa Jaji nao ukoje?
kama ni hivo werema asingewepo mpaka sasa kama Ag!Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
Dogo nani amekudanganya kwamba Majaji wanafuata sheria kwenye issue kama hii yenye interest ya CCM? The Judiciary of Tanzania is not yet independent! NOT YET UHURU! But the time is coming when the Judiciary will be free! It is just a matter of time!
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
CDM ikishinda mahakama imetenda haki, CDM ikishindwa mahakama haijatenda haki. Hamridhiki jamani, msije geuka M23. Poleni.
Ni mwanasheria anayejichanganya na mwisho wa siku anawachanganya wenzake. Mfano kesi hii ya leo, alitamba sana kumtoa knock out wakili kijana Msonda, kwa kutumuia ujanja wa kisheria lakini kapigwa chini. Ni aibu kwa chadema kumtegemea kama mwanasheria wenu.Atakuja waangusha kwenye swala kubwa kuliko hili. Nawasilisha.
Mkuu nakuelewa sana.Viongozi wetu wa ccm wanajua tunawaamini sana-so wanatumia upenyo huo kutudanganya watakavyo kwani wanajua hatua uwezo wa kufikiria zaidi ya kudance tune yao-Pole siyo ww tu tulioadhirika na hilo tupo wengi na ninadhani hii ni moja ya sababu ya umasikini wetuNani huyu mboronga sheria? Ha ha ha ha ha ha ha, hata kikwete alimchamba juzi hadharani.